Naagin season 3

Naagin season 3

Dinnah

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
791
Reaction score
1,062
Natumai mu wazima

Wangapi tunafatilia hii season ya naagin kuanzia season 1,2 mpaka sasa tupo season 3

Binafsi naipenda sana hii drama,ambayo inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili 8pm colorstv,katika king'amuzi cha Azam

Muigizaji gani anakuvutia,na yupi? unamchukia?bila kusahau couple unayoipenda

Season1 nilimpenda sana shivanya,Ritik,sesa,Yamini

Season2 nilimpenda shivangi,Rocky,Luchika,Yamini, Shivanya,japo mwisho walifanya nijiulize maswali bila kupata jibu,kwann Ritik baba yake shivangi ahusike kumuua mwanaye shivangi

Season3 Nampenda Bella,mahir,Ajitab,vish,sumi,palomi ninayemchukia kwenye hii drama Vikrat daaah!tunao ifatilia tujadili machache hapa.
 
Back
Top Bottom