Na wewe ulinunuliwa sokoni . . . . . ??

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,920
Leo ni jumapili,tarehe kama ya leo "alinunuliwa sokoni" dada yangu (mdogo wangu) miaka mingi iliyopita.
"
Nimekumbuka jinsi ambavyo mama "alivyomnunua sokoni" wakati huo.
"
Nakumbuka mama aliondoka na kurudi baada ya siku nne na kurudi na dada "aliemnunua sokoni"
"
Siku hizi watoto "hawanunuliwi sokoni" tena.
"
Zamani hizo mwanamke hakwenda "kununua mtoto" hovyo hovyo.Mwanamke alifundwa na kupewa maadili ya "kununua mtoto sokoni"
"
Bila kujua maadili ya kuishi vyema na atakaekupa "hela ya kununua mtoto" wazee wa "mwenye hela" hawakukubali umkaribie
"
Natamani turudie enzi za "kununua watoto sokoni"
"
We need to go back to our for fathers!
 
dah, those days!
Namtakia dada yako Heri ya kununuliwa sokoni
 
Siku hizi huwapo tena sokoni!

Hawapo tena sokoni kwasababu wanatupwa chooni kwenye yale maputo/mapulizo ya "wakubwa".

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Lakini cha ajabu mama aliondoka qenda sokoni tumba kubwa;
Amerudi na dada tumbo limekuwa dogo;
Hivi sokoni alitakiwa atapike chakula alichokula ndipo apewe mtoto?

That was old good days;
We just feared gorno & syphyllis
There was no kifanyio
Ngoma kupata sehemu ya kufanya; mizunguko mingi hadi kuangushana
Nyumba za wageni zilikuwa za wageni-wageni sio wenyeji-wageni

Bazazi analia kuzikumbuka those days

Bazazi!
​
 
Sumu umesema kweli,mara wengine puchu,matokeo yake watoto wanakosekana sokoni
"
Natamani sana nyakati hizo!
 
Last edited by a moderator:
Bazazi, what are you up to?

Leo uko ki malenga zaidi.

 
Sumu umesema kweli,mara wengine puchu,matokeo yake watoto wanakosekana sokoni
"
Natamani sana nyakati hizo!

Hata mimi nimeziMiss sana mkuu. Nyakati hizo nilikuwa nikimuona mwanaume mwenye kitambi anatoka asubuhi, nilikuwa najua jioni akirudi na yeye atarudi na mtoto kutoka sokoni. LOL!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Bazazi ,unajua kule sokoni kulikua na "dawa" ya kuwatapisha "chakula" walichokula
"
Nyakati hizo ulikua hata kujua mama ana tumbo kubwa ni kazi achilia mbali kujiuliza alikoliacha!
 
Last edited by a moderator:
Hivi maisha ya mapenzi kabla ya HIV yalikuwaje? Condom zilikuwepo kweli? Uaminifu je?
 
Ha,ha,ha,ha,ha,haaaaaa!@Sumu bana!
"
Lakini leo kwenye digitali hata wanaume nao wana "nunua" watoto!
 
Hivi maisha ya mapenzi kabla ya HIV yalikuwaje? Condom zilikuwepo kweli? Uaminifu je?

Zilikuwepo lakini it was not for HIV,yalikuwepo maradhi mengine.Ule mpango wetu wa kununua mtoto vipi?
 
Hivi maisha ya mapenzi kabla ya HIV yalikuwaje? Condom zilikuwepo kweli? Uaminifu je?
Kaunga Habari za usubuhi?
Vifanyio vilikuwepo tena qa wingi!
Matumizi hayakuwepo qa sababu zilikuwa qa ajili ya kupanga uzazi tu.
Uaminifu ulikuwepo kuliko enzi hizi za VIMAREKANI (VVU);

Enzi hizi ni kugegedana tu bila stara, staha wala aibu;
Eneo lolote na wakati wowote; Qa njia zozote.
Umaluuni umezidi ngurumbili hawataki kupita barabara za lami (uke) wanataka vichochoroni (-----).
Hawataki wawili wawili wanapenda "adventure" threesome qani ni awesome.
Wanapenda mtungo kwa maana ya mtungo (all together, mande) au mtungo wa kuungaunga (tuko wangapi),

Bazazi ni Bazazi!

​
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka mama nilikua niki muuzi, alikua akisema tu ndio maana niliku kununua soko mjinga, aah! Nilikua nalia

Hivi soko mjinga lina sifa gani vile?
 
Zilikuwepo lakini it was not for HIV,yalikuwepo maradhi mengine.Ule mpango wetu wa kununua mtoto vipi?

Weye ulikuwa ushaanza onja utamu si hata vidudu ilikuwa bado.
Njoo nipe hela ya kununulua basi
 
Daaah!@Bazazi umenikuna kwa post yako hapo juu
"
Ni kweli vijana wa kike na kiume hawaipendi tena barabara iliyothibitishwa na "tbs"
"
Wanapenda vichochoro utadhani popo
"
Siku hizi ukimpata binti wa kuzaliwa na sio wale wa kununuliwa sokoni,usipopita uchochoroni anakuona umekuja jana kutoka Uru kishumundu
"
Bora niendele kuwa mshamba tu!
 
"
Siku hizi ukimpata binti wa kuzaliwa na sio wale wa kununuliwa sokoni,usipopita uchochoroni anakuona umekuja jana kutoka Uru kishumundu
"
Bora niendele kuwa mshamba tu!
Eiyer!
Ndio masaibu ya siku hizi.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…