CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 855
Pole kwao wanaoteseka bila hatia..mungu awalinde!!!Jambo baya siku zote hulaaniwa na jamii iliyostaarabika, kwenye imani za kiroho mambo mabaya hulaaniwa, kwenye ulimwengu wa siasa mambo mabaya hulaaniwa, na kweye jamii yetu kwa ujumla, huwa tunalaani mambo mabaya.
Mambo mabaya ni kama vile:
1. UNAFIKI
2. UWIZI/ UPORAJI/UNYANG'ANYI
4. DHURUMA
5. UBAKAJI/UNAJISI/NA UFILAJI
Nachukua nafasi hii kulaani jambo moja kati ya hayo niliyoyaorodhesha. Kwamba, nalaani viongozi wa jumuiya za vyama vya wafanyakazi kwa kuwa wanafiki, hata kushindwa kupigania maslahi ya wafanyakazi. Nalaani kwa sababu unafiki wao unasababisha watu tunaoachiswha kazi tuteseke kwa kupigwa danadana katika suala zima la mafao. Eti wanaopunguzwa makazini wanapewa mafao yao, ila wanaofukuzwa kazi/kusitishiwa mkataba wa ajira hawapewi. Iwapo viongozi hawa wa vyama vya wafanyakazi wangekuwa wenye mioyo safi, wasingeacha hili lifanyike. Wanasahau kwamba, wamekuwa wakichukua sehemu ya mishahara yetu kwa ajili ya kujilipa marupurupu, na kulipana mishahara mizuri. Ila sisi tunaosababisha wao walipane marupurupu kutokana na hela zetu wanatusahau.
Eeh Mungu, mimi mja wako.....najua wajua navyoteseka, najua wajua navyoumia na kukosa amani ya kiakili, najua wajua navyofedheheka kutokana na kutokuwa na pesa ambayo iko mikononi mwa hii mifuko ya jamii, naomba unisaidie mimi na watu wenye mahitaji kama mimi ili haki hii ipatikane, na uwalaani wale wote wanaosababisha tupate mateso haya. Ameni.
Ni vyema wafanyakazi waruhusiwe kuwa na hiari ya kujiunga au kutojiunga na vyama vya wafanyakazi. Hivi vyama sasa vimekuwa butu, haviwezi tena kutetea maslahi ya wanachama wao. Mishahara imeganda palepale vyama vipo kimya. Wanachama wanaondolewa kazini pasi na malipo yeyote, vyama havijatoa misimamo yao. Kwa sasa umuhimu wa vyama hivi ni kama umekufa.Jambo baya siku zote hulaaniwa na jamii iliyostaarabika, kwenye imani za kiroho mambo mabaya hulaaniwa, kwenye ulimwengu wa siasa mambo mabaya hulaaniwa, na kweye jamii yetu kwa ujumla, huwa tunalaani mambo mabaya.
Mambo mabaya ni kama vile:
1. UNAFIKI
2. UWIZI/ UPORAJI/UNYANG'ANYI
4. DHURUMA
5. UBAKAJI/UNAJISI/NA UFILAJI
Nachukua nafasi hii kulaani jambo moja kati ya hayo niliyoyaorodhesha. Kwamba, nalaani viongozi wa jumuiya za vyama vya wafanyakazi kwa kuwa wanafiki, hata kushindwa kupigania maslahi ya wafanyakazi. Nalaani kwa sababu unafiki wao unasababisha watu tunaoachiswha kazi tuteseke kwa kupigwa danadana katika suala zima la mafao. Eti wanaopunguzwa makazini wanapewa mafao yao, ila wanaofukuzwa kazi/kusitishiwa mkataba wa ajira hawapewi. Iwapo viongozi hawa wa vyama vya wafanyakazi wangekuwa wenye mioyo safi, wasingeacha hili lifanyike. Wanasahau kwamba, wamekuwa wakichukua sehemu ya mishahara yetu kwa ajili ya kujilipa marupurupu, na kulipana mishahara mizuri. Ila sisi tunaosababisha wao walipane marupurupu kutokana na hela zetu wanatusahau. Aya, tupo mitaani baada ya kupoteza ajira, ajira mpya hazipatikani, hatukopesheki kwa sababu hatuna dhamana, hatuwezi kuanzisha hata biashara ya kuuza ujugu kwa sababu ya vimishahara vidogo tulivyokuwa tunalipwa. Tunakwenda wapi jamani? Tunateseka wakati pesa zetu zimeshikiliwa na hii mifuko ya jamii!!! Nasema walaaniwe, hata wale wanasiasa tuliowapa kura zetu, na wanafumbia macho jambo hili, nao nasema walaaniwe. Eeh Mungu naomba usikie kilio changu.
Eeh Mungu, mimi mja wako.....najua wajua navyoteseka, najua wajua navyoumia na kukosa amani ya kiakili, najua wajua navyofedheheka kutokana na kutokuwa na pesa ambayo iko mikononi mwa hii mifuko ya jamii, naomba unisaidie mimi na watu wenye mahitaji kama mimi ili haki hii ipatikane, na uwalaani wale wote wanaosababisha tupate mateso haya. Ameni.
● Chama Cha Wafanyakazi Tanzania (TUCTA)
● Chama cha Waalimu Tanzania (CWT)
HAO WOTE HAMNA KITU.
Viongozi wao ni wachumia tumbo hawawezi kuikosoa serikali.
Ni vyema wafanyakazi waruhusiwe kuwa na hiari ya kujiunga au kutojiunga na vyama vya wafanyakazi. Hivi vyama sasa vimekuwa butu, haviwezi tena kutetea maslahi ya wanachama wao. Mishahara imeganda palepale vyama vipo kimya. Wanachama wanaondolewa kazini pasi na malipo yeyote, vyama havijatoa misimamo yao. Kwa sasa umuhimu wa vyama hivi ni kama umekufa.
Kiongozi waoga wasiojiamini hawawezi kuleta mabadikiko Bali shida tu
Pole mkuu ndo allowance tunazolipwa kuwa mtanzania na kuwa mtu mweusi
Sasa hivi vyama vya kafanyakazi vimenyamaza tuu kwa ujumla kama mwendo ni hakuna vinachofanya
Shida ya watu weusi unakuta professor na elimu yake linapofika jambo la kutimiza majukumu yake akina hana maslahi ndani hafanyi
Maana ukimya huu unatisha hafadhali kidogo TLC rais wao anaanza kuwaonvelea hata tunajua wapo
Hivi kweli tucta wapo au nafasi zao ziko wazi? Mara kadhaa tumeshuhudia wafanyakazi kutukanua,kudhalikishwa,hakuna anayetoa mwongozo wowote,ama uoga au kutokujiamini maana wapo kisheria
Waliosekta binafsi ndo basi hata hawatembelewi unakuta mtu anafanya kazi zaidi ya masaa 8.5 wengine usiku bila malipo
Wamweleze nani shida ipooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyama vya wafanyikazi ni VIJIWE VYA ULAJI kama mlifikiri ni watetezi mnajidanganya.U can do without them ni ccm mapandikiziJambo baya siku zote hulaaniwa na jamii iliyostaarabika, kwenye imani za kiroho mambo mabaya hulaaniwa, kwenye ulimwengu wa siasa mambo mabaya hulaaniwa, na kweye jamii yetu kwa ujumla, huwa tunalaani mambo mabaya.
Mambo mabaya ni kama vile:
1. UNAFIKI
2. UWIZI/ UPORAJI/UNYANG'ANYI
4. DHURUMA
5. UBAKAJI/UNAJISI/NA UFILAJI
Nachukua nafasi hii kulaani jambo moja kati ya hayo niliyoyaorodhesha. Kwamba, nalaani viongozi wa jumuiya za vyama vya wafanyakazi kwa kuwa wanafiki, hata kushindwa kupigania maslahi ya wafanyakazi. Nalaani kwa sababu unafiki wao unasababisha watu tunaoachiswha kazi tuteseke kwa kupigwa danadana katika suala zima la mafao. Eti wanaopunguzwa makazini wanapewa mafao yao, ila wanaofukuzwa kazi/kusitishiwa mkataba wa ajira hawapewi. Iwapo viongozi hawa wa vyama vya wafanyakazi wangekuwa wenye mioyo safi, wasingeacha hili lifanyike. Wanasahau kwamba, wamekuwa wakichukua sehemu ya mishahara yetu kwa ajili ya kujilipa marupurupu, na kulipana mishahara mizuri. Ila sisi tunaosababisha wao walipane marupurupu kutokana na hela zetu wanatusahau. Aya, tupo mitaani baada ya kupoteza ajira, ajira mpya hazipatikani, hatukopesheki kwa sababu hatuna dhamana, hatuwezi kuanzisha hata biashara ya kuuza ujugu kwa sababu ya vimishahara vidogo tulivyokuwa tunalipwa. Tunakwenda wapi jamani? Tunateseka wakati pesa zetu zimeshikiliwa na hii mifuko ya jamii!!! Nasema walaaniwe, hata wale wanasiasa tuliowapa kura zetu, na wanafumbia macho jambo hili, nao nasema walaaniwe. Eeh Mungu naomba usikie kilio changu.
Eeh Mungu, mimi mja wako.....najua wajua navyoteseka, najua wajua navyoumia na kukosa amani ya kiakili, najua wajua navyofedheheka kutokana na kutokuwa na pesa ambayo iko mikononi mwa hii mifuko ya jamii, naomba unisaidie mimi na watu wenye mahitaji kama mimi ili haki hii ipatikane, na uwalaani wale wote wanaosababisha tupate mateso haya. Ameni.
Pole sana mkuuChief, naomba unisaidie kumfikishia KILIO NA MASIKITIKO YANGU, huyo Bwana Mkubwa. Tangu nimewasilisha maombi ya kupatiwa pesa ya kujikimu na Chama (CWT), ili nitafute njia mbadala za kuendesha maisha na familia yangu baada ya KUFUTWA KAZI NA SERIKALI, hao ma bwana hawataki kujibu chochote. Simu hawapokei, msg hawajibu.
Hivi vyama vya Wafanyakazi nchini kwetu, changamoto sana!
Vyama vya wafanyikazi ni VIJIWE VYA ULAJI kama mlifikiri ni watetezi mnajidanganya.U can do without them ni ccm mapandikizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninawalaani kama binadamu. Kwani kulaani ni dhambi, au kosa la jinai?unawalaani wewe kama nani,sisi sote ni binadamu,anaetoa hukumu ni Mungu tu,huwezi jua hao unao walaani ndo watakao uwona ufalme wa Mungu(wamwisho atakua wakwanza)
Sent using Jamii Forums mobile app