Mengi tumeyasikia ktk hotuba ya mh Rais. Wengine wakidhani ni mwanzo wa nchi ya maziwa na asali. Kimtazamo ni mwanzo wa nchi isiyo na mipango. Hivi tutatoa wapi billion zaidi ya 200 za kufidia upungufu wa ada na michango ya mbalimbali? Mbona kuna ujenzi wa barabara nyingi umesimama haujazungumziwa au kwa kuwa ni madeni? Amewataja wamachinga nk mbona hakuna mkakati wowote kisera wa kuwawezesha hawa na mama ntilie? Nchi haijengwi na mtu mmoja bali uwepo wa taasisi imara na endelevu. Kuiga la Kagame ni sawa na kuiga kwa Gaddafi ambapo uendelevu wake unategemea uhai wa mtu.
Bandari ikiingiza zikaenda kwenye shule, vipi miradi iliyopangiwa pesa hizo? Na kadhalika na kadhalikabilion 200 ndo unaona nyingi kwa tanzania
kwa taarifa yako bandari pekeee inatosha kulingiza hiyo hela kwa mwezi ikisimamiwa vizuri
Bandari ikiingiza zikaenda kwenye shule, vipi miradi iliyopangiwa pesa hizo? Na kadhalika na kadhalika
bilion 200 ndo unaona nyingi kwa tanzania
kwa taarifa yako bandari pekeee inatosha kulingiza hiyo hela kwa mwezi ikisimamiwa vizuri
Kula like yangu mkuu!Rais magufuri anayo dhamira nzuri ila
1.nchi iko kwenye mkwamo mkubwa wa kiuchumi
2.deni kubwa la taifa lisilolipika kwa muda mfupi[takribani trillioni 40]
3.rushwa imetamalaki sana
kwa mazingira kama haya ni vigumu kufikia ahadi zake zote zinazofikia takribani trillion 70
watanzania wenzangu tusitegemee makubwa sana kwa kipindi cha miaka 5
ni kipindi kigumu cha kufunga mikanda
tufanye kazi jamani,tusitegemee ahueni yoyote
Rais magufuri anayo dhamira nzuri ila

Hajahakikisha bado. Amekiri kwamba makusanyo kwa zaidi ya miaka mitatu yamekuwa hayafikii malengo. Kumulika wafanyabiashara wakubwa ni jambo jema, lakini ameahidi nafuu ya kodi kwa hiyo ni zero sum game. Halafu toka ameanza kutoa hotuba amekuwa mahiri saana wa kutaja kilometa za barabara, sasa hivi tunataka awe mahiri wa kutaja miradi au mipango yake na fedha zitakapopatikana. Yeye si Waziri wa Barabara tena bali ni Rais.Magufuli alituhakikishia kuwa nchi hii ina fedha nyingi. Ila zilikuwa zinatafunwa na wachache
Usichukue mambo ya utawala wa Kikwete ukaweka kwenye utawala wa Magufuli. Utakosea sana. Hizi ni namba mbili tofauti
Usichukue mambo ya utawala wa Kikwete ukaweka kwenye utawala wa Magufuli. Utakosea sana. Hizi ni namba mbili tofauti