Huyu Mzee mwenzangu naona Anzaidi kuwa mkubwa kuliko CHAMA.....maana sasa hivi si CHADEMA tena bali ni EDO hii inatukumbusha kipindi kile NDANI YA chama chetu pendwa CCM ilifikia hatua CHAMA KIKAMUOGOPA KABSA sasa haya yameanza kujirudia huku upande wa pili...BADALA YA CHAMA KUIMARIKA ANAIMALIKA MTU.....daaah so sad