Na hili ndio tatizo lake kubwa sana......

Kibstec

JF-Expert Member
May 21, 2016
1,205
2,339
Huyu Mzee mwenzangu naona Anzaidi kuwa mkubwa kuliko CHAMA.....maana sasa hivi si CHADEMA tena bali ni EDO hii inatukumbusha kipindi kile NDANI YA chama chetu pendwa CCM ilifikia hatua CHAMA KIKAMUOGOPA KABSA sasa haya yameanza kujirudia huku upande wa pili...BADALA YA CHAMA KUIMARIKA ANAIMALIKA MTU.....daaah so sad
 
Chama kimepigwa stop kufanya mikutano! Madhara yake kwa chama ni makubwa sana!
 
Huyu jamaa asingekuwepo Chadema, kingekuwa kiko wakati mgumu kwa kuwa ni kama amekibeba nyakati hizi za no siasa mpka 2020
 
Huyu Mzee mwenzangu naona Anzaidi kuwa mkubwa kuliko CHAMA.....maana sasa hivi si CHADEMA tena bali ni EDO hii inatukumbusha kipindi kile NDANI YA chama chetu pendwa CCM ilifikia hatua CHAMA KIKAMUOGOPA KABSA sasa haya yameanza kujirudia huku upande wa pili...BADALA YA CHAMA KUIMARIKA ANAIMALIKA MTU.....daaah so sad
Ha haaa haaaaa ndio uzuri wa jamii forum.....michango ya mtu ya nyuma haifutiki!
Kitu kinachorahisisha sana kuelewa akili za mleta uzi!
 
Ha haaa haaaaa ndio uzuri wa jamii forum.....michango ya mtu ya nyuma haifutiki!
Kitu kinachorahisisha sana kuelewa akili za mleta uzi!
Ila ujumbe umefika......na siwezi kana msimamo wangu
 
Ha haaa haaaaa ndio uzuri wa jamii forum.....michango ya mtu ya nyuma haifutiki!
Kitu kinachorahisisha sana kuelewa akili za mleta uzi!
ebu weka hizo thread za nyuma twone,mkuu!
heri ya mwaka mpya!
 
ebu weka hizo thread za nyuma twone,mkuu!
heri ya mwaka mpya!
haina haja yakuziweka hapa!
Ni rahisi sana nenda kwenye profile yake click pale kwenye sms.......
utaona kila kitu na post zake hata kwenye mambo ya maana huwa ni za mlengo upi?
Kheri ya mwaka mpya nawe pia mkuu
 
Jamani lowassa siyo rais, nyinyi ccm mliochukua dola tuambieni na mtueleze na mtupe mikakati yenu jinsi ya kutekeleza ahadi mlizo tuahidi lakini kila siku nyinyi na lowassa kama vile ndiye anayeendesha dola, tuambieni mikakati yenu ya kufufua uchumi ndiyo maana vijana wa ccm wanaonekana wanaulemavu wa akili kwa kuwa wanashindwa kutangaza sera na mipango ya kukuza uchumi matokeo yao wanabandika mabango ya kuwasema wapinzani, 2020 siyo mbali tutakuja kuwauliza ahadi ngapi mmetekeleza
 
Back
Top Bottom