Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 413
Nawapokeza CCM kwa operesheni JAZA WATU JANGWANI kwani imefaulu kwa kiwango kikubwa. Sasa ni wakati wetu sisi CUF kudhihirisha nguvu ya haki tuliyonayo. Si kama ile ya mafuso ni zaidi ya ile ya wapinzani wetu CDM. Upo wapi Maalim, Lipumba, Jussa, Mtatiro...?
nahisi itafanikiwa kama itafanywa baada ya swala ya ijumaa
Baada ya kupata kura 200 Uzini, nyuma ya CDM kwa kweli tumenyong'onyea na hatuna hamu ya kushindana nao. Siku hizi tupo bize na kuchoma moto makanisa
Nawapokeza CCM kwa operesheni JAZA WATU JANGWANI kwani imefaulu kwa kiwango kikubwa. Sasa ni wakati wetu sisi CUF kudhihirisha nguvu ya haki tuliyonayo. Si kama ile ya mafuso ni zaidi ya ile ya wapinzani wetu CDM. Upo wapi Maalim, Lipumba, Jussa, Mtatiro...?
Mkuu si tayari mlifanya zenji na kuchoma makanisa au?
Baada ya kupata kura 200 Uzini, nyuma ya CDM kwa kweli tumenyong'onyea na hatuna hamu ya kushindana nao. Siku hizi tupo bize na kuchoma moto makanisa
ile ya cdm ilifana kwa sababu watu walitoka kanisani week end.
Aisee sikujua kuwa Tanzania ina Wasabato wengi vile!
Sijui kwa nini nimecheka ghafla.....
Baada ya kupata kura 200 Uzini, nyuma ya CDM kwa kweli tumenyong'onyea na hatuna hamu ya kushindana nao. Siku hizi tupo bize na kuchoma moto makanisa
tujikusanye baada ya swala ya ijumaa nasi tuujaze uwanja wa chadema. ole wao polisi wazue maandamano yetu. haki sawa? asipenda haki? jino kwa jino? asanteni sana. Mia