Washafyata mikiaNaomba kuuliza tu, hivi wale wanajamvi walioshadadia kwamba marekani atampiga bwana KIM bado wanaendelea kushadadia?
kim ameomba samahan angepigwa kwel na trumpWashafyata mikia
Kaomba msamaha gani?kim ameomba samahan angepigwa kwel na trump
Ww ulichotafakari mbn hakina mantiki wala mashiko yoyote maana umechangia kishabikiMnadhani uwanja wa vita ingekuwa wapi km si NK? Nyie kusikia tu NK atarusha makombora yake USA mnadhani ndo patakuwa uwanja wa vita,mmebogi men. Mlijiuliza kwani USA amesogeza meli,majeshi yake karbu na NK. Mnadhani yeye USA nae hawezi kupigana akiwa kwake kwa kutumia ICBM zile ambazo hata NK hatakuja kuwa nazo hata miaka 30 ijayo. Na je mmefikiria kwani NK nae hajapeleka majeshi yake pale pwan ya USA,km pale labda Mexico na nk?. Ukichunguza kwa kina ni kuwa uwanja wa vita ungekuwa ni NK. TAFAKARIN KWA KINA SANA
Uwanja wa vita utakuwa SK sio NK amini usiaminiMnadhani uwanja wa vita ingekuwa wapi km si NK? Nyie kusikia tu NK atarusha makombora yake USA mnadhani ndo patakuwa uwanja wa vita,mmebogi men. Mlijiuliza kwani USA amesogeza meli,majeshi yake karbu na NK. Mnadhani yeye USA nae hawezi kupigana akiwa kwake kwa kutumia ICBM zile ambazo hata NK hatakuja kuwa nazo hata miaka 30 ijayo. Na je mmefikiria kwani NK nae hajapeleka majeshi yake pale pwan ya USA,km pale labda Mexico na nk?. Ukichunguza kwa kina ni kuwa uwanja wa vita ungekuwa ni NK. TAFAKARIN KWA KINA SANA
Mkuu hiyo taarifa nimeiona bbc swahili na hilo kombora limeanguka kwenye bahari ya japanMmmmh! Kim alisema vita itapigwa u.s.a.
Vilevile mnajua wiki hii trump alikuwa na mpango wa kukutana na bwana kim?
Mnajua kama raisi wa s.korea kaomba kuurudisha uhusiano wake na n.k
MNAJUA LEO BWANA KIM KAFANYA JARIBIO LINGINE NA LIMEFANIKIWA KWA 100%
Unaota?kim ameomba samahan angepigwa kwel na trump
NK hawana mambo ya kipuuzi ya kuvamia nchi za kigeni kama walivyo machizi USA.Mnadhani uwanja wa vita ingekuwa wapi km si NK? Nyie kusikia tu NK atarusha makombora yake USA mnadhani ndo patakuwa uwanja wa vita,mmebogi men. Mlijiuliza kwani USA amesogeza meli,majeshi yake karbu na NK. Mnadhani yeye USA nae hawezi kupigana akiwa kwake kwa kutumia ICBM zile ambazo hata NK hatakuja kuwa nazo hata miaka 30 ijayo. Na je mmefikiria kwani NK nae hajapeleka majeshi yake pale pwan ya USA,km pale labda Mexico na nk?. Ukichunguza kwa kina ni kuwa uwanja wa vita ungekuwa ni NK. TAFAKARIN KWA KINA SANA