ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Kuwa na subira mkuu, siku ukianza kulipwa mshahara waliokua wanalipwa baba na wajomba zako, miondombinu ikiwa kama ilivokua wakati wa baba na wajomba zako, hospitali na idadi ya watu ikiwa sawa na wakati huo basi bila shaka na nyumba za nhc zitakua gharama unayoitaka.Miaka ya 70s nilikulia magomeni na ilala tukiishi ktk nyumba za NHC,enzi hizo baba na wajomba wakiwa wafanyakazi wa kawaida walizimudu nyumba hizo tukaishi miaka mingi,
Leo hi nyumba za sgirika hilo sifikirii hata kuzisogelea kwa gharama kubwa ambazo ya chini inatajwa kua ni almost milioni 30!Maswali yangu kwenu Nhc Ni lini mtarudia kupangisha watu wa kawaida/wa hali ya chini ktk nyumba zenu?na kwanini bei yenu bado ipo juu na bado mnasema ni rahisi je rahisi hii ni kwa nani?Zanzibar Pale Michenzani Karume alijenga Flats zile hadi leo wapo wananchi wa kawaida mle je kwenu hilo haliwezekani?
Mkuu Root NHC wanafanya usanii wa kucheza na maneno,kama dhumuni ni sisi kuacha waishi wenye uwezo then wasiseme ni za bei nafuu,wanatangaza eti "wahi nyumba za bei rahisi"ukijipendekeza unaambiwa nyumba yenye room 2,sebule na choo 40mill Mtanzania maskini ataiweza hiyo bei..em waache usanii.Mbona mnalalamika sana, bei nafuu bei nafuu khaaa... kwani lazima uishi kwenye hizo nyumba?
Acha wenye uwezo waishi kwenye hizo nyumba
Mkuu Root NHC wanafanya usanii wa kucheza na maneno,kama dhumuni ni sisi kuacha waishi wenye uwezo then wasiseme ni za bei nafuu,wanatangaza eti "wahi nyumba za bei rahisi"ukijipendekeza unaambiwa nyumba yenye room 2,sebule na choo 40mill Mtanzania maskini ataiweza hiyo bei..em waache usanii.
N.H.C ipo kwa ajili ya wakubwa ndgu mi nawewe hatuhusiki.