aljun raj
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 203
- 46
Ama kweli wadada wengine wazuri lkn tbia zao mbaya leo nimeenda kwa rafiki yangu kumsalimia anumwa nimemkuta demu wake amekaa pemben akiangalia move za x uku jamaa akilalamika anaitaji chakula demu ndio kwanza kamnyamazia mpaka mi nikaenda kumnunulia chps kurudi demu kanuna ikabudi mi niage sasa uku kunakupendana kweli. Madada hebu waheshimuni wapenz wenu bhana hata kama anaumwa vp ndio mpenz wako uliemchagua uyo. Eeeh