Mzunguko wa vocha upo vipi?

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,556
Reaction score
4,169
Tangu zamani tumekuwa tukitumia vocha na vocha ni codes. Tangu nimiliki simu ni miaka 10+ now na nimejarbu kubashiri lakini nimekosa.

1.je ni njia gan inatumika ku create hizi codes?

2. kwani haziishi?

3. Ni kweli kama zinasafirishwa kwa umbali mrefu zina kuwa locked? I mean kama zimeibwa zisiweze kutumika?

4. je ikitokea codes kuisha, nini hufanyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…