OMARY RAMADHANI
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 172
- 183
jua na mwezi siyo sayari!!
itabidi useme swali lipi ujibiwe kwanza ila tambua yakuwa jua halisogei kinacho zunguka ni dunia pia mwezi unaizunguka dunia hapohapo jua pia hujizungusha yenyewe ktk muhimili wake kuhusu kuchomoza na kuzama ilipotokea nikutokana na mwezi kuwa na speed ndogo hivyo uleupande wa dunia unaoiangalia mwezi kusogea haraka kuliko mwez so kuifanya kuonekana kuzamia ule upande uliochomozea
{najaribu lakin}
Habari za jioni waungana, kunajambo linanitatiza ktk ufaham wangu kuhusu huu mzunguko wa hizi sayari Dunia,Jua na Mwezi, watafiti wanasema sayari ya mwezi huizunguka dunia kutoka magharibu kwenda mashariki na sayari ya jua huizunguka dunia kutoka Mashariki kwenda magharibi, "sina shaka na hilo" lakini kinachonitatiza ni matoteo ya kimzunguko yanayo onekana kwa macho, na kwaupande wangu naona ni kinyume na mzunguko kiuhalisia, iko hivi:- mwezi unapo andama hutokea upande wa Magharibi na safari yake huelekea upande wa Mashariki ya Dunia, lakini mwezi huu unapo andama nusu mwezi ambayo huanza kuchomoza kwa nini huonekana ikiwa upande wa chini wa duara ya mwezi? Kwa nini nusu hii inayo chomoza isiwe upande wa juu wa duara ya mwezi kama ilivyo ktk sayari ya jua pale linapo chomoza? swala lingine mwezi unapoandama kwanini hupanda na baada tu ya masaa machache hurudi tena uliko toka? swala la mzunguko wa kutoka Magharibi kwenda Mashariki hapa linanafasi gani? Naomba kuwasilisha.
itabidi useme swali lipi ujibiwe kwanza ila tambua yakuwa jua halisogei kinacho zunguka ni dunia pia mwezi unaizunguka dunia hapohapo jua pia hujizungusha yenyewe ktk muhimili wake kuhusu kuchomoza na kuzama ilipotokea nikutokana na mwezi kuwa na speed ndogo hivyo uleupande wa dunia unaoiangalia mwezi kusogea haraka kuliko mwez so kuifanya kuonekana kuzamia ule upande uliochomozea
{najaribu lakin}
Hakika hii mada imekosea njia haipo mahali sahihi,lakini ngoja nami nijazie kwa UELEWA WANGU, DUNIA ni sayari kati ya sayari 8 zinazolizunguuka jua letu, MWEZI (MOON) ni natural satelight ambapo kwenye baadhi ya sayari kuna mwezi (moon) zaidi ya mmoja na sayari zingine hazina, na JUA ni Nyota kati ya ma-bilioni ya nyota inazozunguuka Galaxy yetu inayoitwa MILK WAY, ambapo inakadiriwa ulimwengu una ma-bilion ya ma- bilioni ya GALAXIES. Na wanasayansi wanasema hivi juzi kati wamegundua Galaxy kuuuubwa kuliko zote walizowahi kuzigundua ambayo wanasema iko umbali wa miaka bilioni nane na zaidi kwa mwendo wa mwanga kutoka duniani hadi hapo ilipo na inaelezwa kwamba yenyewe inaukubwa wa miaka bilioni 4 (nne) kwa mwendo wa mwanga kutoka mwanzo hadi mwisho wa hiyo GALAXY. HII NI KWA MUJIBU WA UELEWA WANGU.
Unayoyasema yanamantiki kama na wewe utawapinga kisayansi na si kwa bla bla, lakini mimi nakubaliana nao kwa sababu ya matokeo ya wanachokisema, kwa mfano walituma chombo kwenda kwenye Pluto (sijui kama bado ni sayari) chombo kilichochukua takribani miaka si chini ya 6 kufika huko na ni mwendo wa km bilion 5+ na hilo tukio lipo live waweza kuliona. Kinachonishangaza ni kwa jinsi walivyoweza kukadiria ( kwa sababu dunia na pluto vyote vinazunguuka jua na kwa mwelekeo tofauti ) kwa jinsi walivyoweza kuona kwamba baada ya miaka hii pluto itakuwa hapa na chombo chetu kitakuwa kimeshafika ukiangalia hapo zaidi ni mahesabu.kama ina take almost 4 billion yrs kuifikia ktk speed ya 300000000m/s ambayo ni speed ya light wao wameifikiaje na kutoa details wamepimaje huo ukubwa mimi nachoona kuna mataifa yanajaribu kututisha ki tech ili tuyaogope nadhani uliona ujanja wa Armstrong ndani Ya Area 51 Nevada leo Anaaaminisha whole universe kuwa kafika mwezini..
Vlamid puttin mara kadhaa ameikanyanya united states kuhusu kudanganya...Labda cha kunote tu ni kuwa Africa tukiwekeza katika Tech hizi porojo za mataifa yaliojuu tutataziondoa akilini ..Leo japan yuko mbali je unajua nyuma alikuwaje huyo china nae?