Mzungu ni asili au jamii ya watu wanaopatikana bara la ulaya duniani kuna asili 4 ambazo ni
1 Caucasian races(Europeans)
2 Mongolian races (Chinese , Koreans, Japanese )
3 Semitic races (Arabs Indian Jewish)
4 Negroid races(all blacks people)
Hizi ndizo jamii kamili za binadamu pia kuna jamii nyingine tofauti ambayo wapo wengi sana jamii hii inatambulika kama
Mixed race (chotara)
jamii hii watu wengi wanajua ni muunganiko wa mweusi na mweupe ndio wanaitwa mixed lakini si lazima hwe hvyo mixed anaweza kuwa mchina na mjapani au mwarabu na mzungu so mtoto atakaye toka hapo atakuwa mweupe pee
Sasa hoja hapa ni Mzungu ni nani?
Mzungu pure wanasema lazima kuwa na Kigezo kimoja kati ya 2
1 Blonde hair
2 Blue eyes
Mtu anaweza kusema wazungu ni watu wengi Asili ya Ulaya lakini wazungu wenyewe wanasema Spanish, Turkey, Italy, Greece si wazungu pure ni mixed race na Nchi nying sana ni kutoka jamii hii ya Mixed race ( chotara )
Wanasema wazungu pure ni Germany, Denmark, Sweden, Russian, Poland ,Ukraine etc
Blonde hair ndio kigezo kikubwa kwani wanasema katika jamii zote 4 Blonde hair zipo kwao tu ndo maana ni vigumu kumkuta mchina au mkorea wanablonde au kukuta Negro ana blonde japo kuna jamii ya weusi wana blonde hair jamii ambayo inapatikana bara la Ocenia wanajulikana kama
The Melanesians wale wanamatatizo na rangi za nywele zao is caused by an amino acid (Thrombospondin 1) ambayo ina change in the gene to TYRP1 ( Tyrosinase-related protein 1 )
Kitu chochote ukiwanacho ambacho si cha jamii yako hilo ni tatizo Mungu kila Jamii ameipatia vitu vyake ni sawa leo kumkuta mzungu ana nywele za kipilipili hilo ni tatizo aiwezekani ikawa ni sawa tu pia ni sawa na albino kwetu