Mzungu amsusia mgonjwa

Mzungu amsusia mgonjwa

KIGENE

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
1,551
Reaction score
813
Katika hospitali teule ya Mugana huko Nkenge kwa kina nshomile mzee mmoja alikuwa anatibiwa kisonono na sista wa kizungu wakati mzungu kashika mkasi wenye pamba anakamua samsing ya babu usaha kumbe mgonjwa kavutiwa na urembo wa yule mzungu ongeza na tekenyatekenya mkasi si kasamsing kakasimama kwa hasira mzungu akakapiga na mkasi nakumfokea mgonjwa wee vipi unataka kumfanya nani mi nakutibia we unasimamisha toka rudi ulikotoka kumbe we huumwi babu akajitetea kuwa kapitiwa na pepo mbaya bila mafanikio
 
Join Date : 22nd January 2011
Posts : 1

mwanzo mbaya:bump:
 
Haijanoga kweli mwanzo mbaya
 
Umeanza na pumba. Haichekeshi, haina maana ... Mti hujilikana kwa matunda yake.
 
Dah watu kwa kuponda na kujifanya wenyewe ma taikuuunii watu wa matawi ya shjuuuuuu mmh
Kijana usivunjike moyo lete na nyinginee bana
 
Mi nimecheka kusema kweli!! Thanks ! Mwanzo mzuri ! Hapa JF ni kawaida members kuwa-critisize members wachanga, sababu tu ya upya wao! keep it up
 
Back
Top Bottom