Mzungu ainunua Shule ya Serikali

Mzungu ainunua Shule ya Serikali

Shule gani mkuu inajengwa kwenye eneo la heka (ekari) 1? Watu wengine mbona mna akili za kisengerema hivyo? Rudi tena ukafanye uchambuzi vizuri kuku wewe!!

Ujaelewa mpuuzi ww nimekwambia ilipokuwa shule na heka moja ya ziada elewa kipapa ww
 
nani kakwambia tanzanite inapatikana mlimani, wakati madini yanafata mkanda , mtafute mtaalamu wa madini akwambie

Kaka hiyo sector niko 12yrz mgodi w tanzanite lazma uchimbe 350m au 450m then uanze search mawe sio urefu w shimo l choo.......istoshe hakuna ki2 kma hicho usa labda ungeniambia namberera au kwengine[/QUOTE]

Kwani ww unaishi usa?
 
Mimi nafikiria wala sio Tanzanite ila Itakuwa kuna HAZINA KUBWA YA KIJERUMANI. Mlioko karibu mfuatilie baada ya mwaka mmoja tu kama huyu mzungu atakuwa hapo ??
 
Mimi nafikiria wala sio Tanzanite ila Itakuwa kuna HAZINA KUBWA YA KIJERUMANI. Mlioko karibu mfuatilie baada ya mwaka mmoja tu kama huyu mzungu atakuwa hapo ??
Na wengi hawajui Wajerumani wana siri nyingi za hii nchi huyo atakua kuna kitu kakigundua kikiisha anasepa wanakujaga kufanya tafiti na hvi document hazina mtafsiri huyo akipata chake ana sepa.
 
Hivi kumbe kijiji wanaweza kuamua kuuza eneo la shule kirahisi hivo?
 
Hivi kumbe kijiji wanaweza kuamua kuuza eneo la shule kirahisi hivo?

China ya utawala wa ccm inawezekana mbona tume sign mikataba 17 na wachina yote haijulikan sembuse shule kuuzwa?
 
Kaka hiyo sector niko 12yrz mgodi w tanzanite lazma uchimbe 350m au 450m then uanze search mawe sio urefu w shimo l choo.......istoshe hakuna ki2 kma hicho usa labda ungeniambia namberera au kwengine

Kwani ww unaishi usa?[/QUOTE]

mwaka 94 Mimi naanza kwenda mererani pale samax walikuwa wanakula tanzanite rangi ya mfupa opencasts sasawewe umeenda wakati pameshakua mashimo yale mawe ya juu watumeshaokota wakati tunachimba opeck eneo la kitalu c sehemu wanaita kileleni mita 30 to 50 watu wanatoboa korongo nenda kwa walokole na majirani pale uone sehemu walipo pakulia altitude ndo sijui kulingana na sehemu choo kuliko chimbwa
 
Mkuu mbna hiyo issue ni mstori tu......toka lini tanzanite ikawa sehemu ambayo haina miamba dats why inapatikana mererani mlimani n miamba yake hutoka juu kwenda chini zaidi ya mita 350 mpka 450m,hiyo itakua sio tanzanite ni usanite😁😁😁

Anachozungumzia yeye ni kwanini maeneo haya yanaporwa kwa staili hio ya kuuziana..mikataba haipo wazi
 
haya ni maajabu yanayoweza tokea Tanzania tu na si kwingineko ulimwenguni.
 
Back
Top Bottom