Mzungu ainunua Shule ya Serikali

Mzungu ainunua Shule ya Serikali

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
499
Mzungu mmoja uko wilaya arumeru mkoani arusha , imethibitika ameweza kuinunua shule moja ya msingi mali ya serikali katika kijiji cha doli, na kisha kuwajengea shule ya kisasa kabisa nje kabisa ya eneo hilo lilipokuwa shule hiyo, inasemekana kabisa kuwa eneo hilo ilipokuwa shule ilionunuliwa limesheheni madini ya tazanite" kwa mujibu wa mwanakikiji mmoja aliepewa kazi ya kuchimba shimo la choo kabla ya kuninuliwa na mzungu uyo na kubaini kiasi kikubwa cha madini hayo katika eneo hilo kwa sasa eneo hilo limepigwa uzio wenye kulidwa na umeme, walinzi na mbwa, baada ya wanakijiji kuridhia kuuza eneo hilo la heka 1 na shule hiyo ambayo ilikuwa aina hata madirisha, pia choo mzungu huyo aliwazawadia shule ya kisasa na kuninua gari la walimu na wanafunzi kama asante, kwa kumpa eneo hilo, kwa sasa lina ulinzi mkali ambapo marufuku kuingia eneo hilo, mbunge wa arumeru mashariki anajua hilo.

Wakati huohuo Geta

AMGG.jpg

Sakata la kuporwa kwa kiwanja cha shule ya msingi Nyankumbu Wilayani Geita Mkoani hapa limechukua sura mpya baada ya wananchi kumgomea mwekezaji kujenga mpaka serikali itakapomaliza mgogoro ulipo.

Wakizungumza na Channel Ten iliyofika kwenye eneo hilo na kukuta ujenzi ukiwa umesimama, wananchi hao wamesema kitendo cha Serikali kupora eneo hilo na kuwauzia watu wenye fedha bila wao kujulishwa hakikubaliki hata kidogo.

Wananchi hao wametoa ushauri wao kwa kusema ni bora serikali iwe inawashirikisha wahusika wa maeneo ili kuepuka migogoro isiyokuwa ya lazima kama inavyoweza kutokea katika eneo hilo.

Kaimu Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Jacob Katira amesema kuporwa kwa maeno hayo na kuuziwa watu wenye fedha kumesababisha matatizo makubwa kwa wanafunzi wake.

Kuporwa kwa nguvu maeneo na viwanja vya shule katika Mkoa wa Geita na kupewa watu wenye fedha kunazidi kushamili huku watoto wakiwa wanawarundikana kwenye vyumba vidogo vya madarasa kwa kukosa maeneo ya kujengwa madarasa.

Chanzo:
Channel ten
 
Aiseee Ulaya yote mashimo tu hamna kitu.. Na sasa Viongozi wetu vipofu.. kipindi kile tulisema wazee wetu walio pewa Shinga na mikufu kwa Kutoa mashamba mkubwa walikuwa hawana akili.. Leo je tusemaje?

Nani anaweza kwenda Ulaya kufungua au kumiliki hata kipande cha Ardhi.. Labda uwe fisadi..

Basi tumekuwa vipofu wote.. Jongoo baba na familia yako..
 
Mkuu mbna hiyo issue ni mstori tu......toka lini tanzanite ikawa sehemu ambayo haina miamba dats why inapatikana mererani mlimani n miamba yake hutoka juu kwenda chini zaidi ya mita 350 mpka 450m,hiyo itakua sio tanzanite ni usanite😁😁😁
 
hata bukombe ilinunuliwa na mwekezaji wa ndani na akajenga shule nyingne, kuna dhahabu nying pale
 
[aQUOTE=tweenty4seven;13569474]Mkuu mbna hiyo issue ni mstori tu......toka lini tanzanite ikawa sehemu ambayo haina miamba dats why inapatikana mererani mlimani n miamba yake hutoka juu kwenda chini zaidi ya mita 350 mpka 450m,hiyo itakua sio tanzanite ni usanite😁😁😁[/QUOTE]
nani kakwambia tanzanite inapatikana mlimani, wakati madini yanafata mkanda , mtafute mtaalamu wa madini akwambie
 
Huyo mchimba choo angebaini "kiasi kikubwa" cha Tanzanite pangeshachimbuliwa kitambo na wananchi, hizo story mnaongeza chumvi!
 
Watanzania muko radhi kuliwa mali yenu na mzungu ila mkenya akisogelea mnapiga kelele kweli..sasa ni wapi duniani shule ya serikali ikauziwa mtu binafsi
 
Si walikubaliana ? Kama kuna madini mbona mlikua hamyachimbi ?

Mmejengewa shule tena yenye choo mnaleta za kuleta, mmenunuliwa na gari mnalalamika.

BURE KABISA
 
Hiyo ndiyo nchi ya ccm. UKAWA wakiingia huyo mzungu atalipia sana hadi akimbie mwenyewe. CCM imetufanya watanzania mazezeta na sasa si unajua zezeta akipona hadanganyiki??
 
Maskini Tanganyika yangu,katiba mbovu inapelekea yote haya.

Lakini kama ameawajengea shule ya kisasa Kuna shida gani? Maana bila shaka watoto walikuwa wakikaa chini kwenye vumbi na kujisaidia vichakani kama mbweha pori.
 
Mzungu mmoja uko wilaya arumeru mkoani arusha , imethibitika ameweza kuinunua shule moja ya msingi mali ya serikali katika kijiji cha doli, na kisha kuwajengea shule ya kisasa kabisa nje kabisa ya eneo hilo lilipokuwa shule hiyo, inasemekana kabisa kuwa eneo hilo ilipokuwa shule ilionunuliwa limesheheni madini ya tazanite" kwa mujibu wa mwanakikiji mmoja aliepewa kazi ya kuchimba shimo la choo kabla ya kuninuliwa na mzungu uyo na kubaini kiasi kikubwa cha madini hayo katika eneo hilo kwa sasa eneo hilo limepigwa uzio wenye kulidwa na umeme, walinzi na mbwa,baada ya wanakijiji kuridhia kuuza eneo hilo la heka 1 na shule hiyo ambayo ilikuwa aina hata madirisha, pia choo mzungu huyo aliwazawadia shule ya kisasa na kuninua gari la walimu na wanafunzi kama asante, kwa kumpa eneo hilo, kwa sasa lina ulinzi mkali ambapo marufuku kuingia eneo hilo, mbunge wa arumeru mashariki anajua hilo
Huyo mzungu mmoja hana jina?

Hiyo shule aliyojenga aina jina?

Hilo gari ni aina gani?

Hiyo sehemu alionunua mzungu inaitwaje?

Huyo mwanakijiji aliochimba choo cha mzungu anaitwa nani?

Watu wote humu hawana akili za nyumbu kufuata msururu tu bila kujua unapoelekea.
 
Huyo mzungu mmoja hana jina?

Hiyo shule aliyojenga aina jina?

Hilo gari ni aina gani?

Hiyo sehemu alionunua mzungu inaitwaje?

Huyo mwanakijiji aliochimba choo cha mzungu anaitwa nani?

Watu wote humu hawana akili za nyumbu kufuata msururu tu bila kujua unapoelekea.

Ww acha ubishi kama mtu wa arusha hii habari mbona hata mtoto anajua , sasa hivi mpaka helkopta zinatua na kuchukua mzigo , sasa ww endelea na maswali yako yasiokuwa na maana !! Njoo arusha fika usa river chukua boda waambie nakwenda doli utapata uko majibu nchi hii inaliwa mkuu bora lowassa aingie katika nyumba nyeupe
 
Watanzania wengi wazembe sana....tutaadhibiwa kwa kukosa maarifa..
 
Mzungu mmoja uko wilaya arumeru mkoani arusha , imethibitika ameweza kuinunua shule moja ya msingi mali ya serikali katika kijiji cha doli, na kisha kuwajengea shule ya kisasa kabisa nje kabisa ya eneo hilo lilipokuwa shule hiyo, inasemekana kabisa kuwa eneo hilo ilipokuwa shule ilionunuliwa limesheheni madini ya tazanite" kwa mujibu wa mwanakikiji mmoja aliepewa kazi ya kuchimba shimo la choo kabla ya kuninuliwa na mzungu uyo na kubaini kiasi kikubwa cha madini hayo katika eneo hilo kwa sasa eneo hilo limepigwa uzio wenye kulidwa na umeme, walinzi na mbwa,baada ya wanakijiji kuridhia kuuza eneo hilo la heka 1 na shule hiyo ambayo ilikuwa aina hata madirisha, pia choo mzungu huyo aliwazawadia shule ya kisasa na kuninua gari la walimu na wanafunzi kama asante, kwa kumpa eneo hilo, kwa sasa lina ulinzi mkali ambapo marufuku kuingia eneo hilo, mbunge wa arumeru mashariki anajua hilo
Shule gani mkuu inajengwa kwenye eneo la heka (ekari) 1? Watu wengine mbona mna akili za kisengerema hivyo? Rudi tena ukafanye uchambuzi vizuri kuku wewe!!
 
[aQUOTE=tweenty4seven;13569474]Mkuu mbna hiyo issue ni mstori tu......toka lini tanzanite ikawa sehemu ambayo haina miamba dats why inapatikana mererani mlimani n miamba yake hutoka juu kwenda chini zaidi ya mita 350 mpka 450m,hiyo itakua sio tanzanite ni usanite😁😁😁
nani kakwambia tanzanite inapatikana mlimani, wakati madini yanafata mkanda , mtafute mtaalamu wa madini akwambie[/QUOTE]

Kaka hiyo sector niko 12yrz mgodi w tanzanite lazma uchimbe 350m au 450m then uanze search mawe sio urefu w shimo l choo.......istoshe hakuna ki2 kma hicho usa labda ungeniambia namberera au kwengine
 
Back
Top Bottom