Sisi ni weusi ni ngono tuNaangalia hapa discovery channel,wanaonyesha controversies mbalimbal znazojitokeza katka tafit zao huko kwenye sayar nyingne..daah,ujue hii tabia ya mzungu kufanya utafit tokea enz hizo wanazunguka dunian had kuja kuona bara la africa na kuanza kulishugulikia effectively,nadhan tuwape pongez hawa jamaa kwa gunduz zao,.wanaishangaza sana dunia,..ngoz nyeus maskin ya mungu wakat wenzetu wanafanya haya sis sjui tunafanyaga nin.daah,.nadhan hawa jamaa wanakitu cha ziada zaid ya bnadam wa kawaida,au either sis ngoz nyeus ndo si viumbe vya kawaida,maana wanasema mwanadam ana uwezo mkubwa sana,katumia tu 10% ya ubongo,sasa naona wenzetu weupe wanajishugulisha kwel,sis weus vp jamen?
Una mawazo mgando.Ila isije ikawa wako studio tu, wanakudanganya.
Hata kutengeneza studio/location ya ivo ni akili mkuu,.Una mawazo mgando.
Tukubali tu ukweli mana mwisho wa siku hatutaishi milele....Wazungu kama kweli Mungu ndo aliyeumba dunia na viti vilivyomo ndani yake kama dini zinavodai.....basi Wazungu walipendelewa akili...
Kuna vitu vingine havitengenezwi studio mkuu lazima uende location...hao watu wametuzidi akili...lazima tuseme ukweli...Mungu hakuwa mbaguzi kwenye kifo tu..wote tutakufa some dayHata kutengeneza studio/location ya ivo ni akili mkuu,.
Ushahidi plzHivi vitu vipo kiasilia wanadamu wa kwanza walikuwa na ngozi nyeupe.
Mbona kuna movies za huko space!?Kuna vitu vingine havitengenezwi studio mkuu lazima uende location...hao watu wametuzidi akili...lazima tuseme ukweli...Mungu hakuwa mbaguzi kwenye kifo tu..wote tutakufa some day
Mkuu usiniambie na wewe hujui tofauti ya 'Movie' na 'Documentary'??????M
Mbona kuna movies za huko space!?
We jamaa mbona siasa imekukaa sana!? Ushabiki, usio na maana Sasa magu anahusikaje hapa!! Yani kama ni malelia yako imesha panda kichwani.Sisi tungeweza kujitutumua isingekuwa magu kuhusudu kushangiliwa na kupongezwa huku akisifiwa kwa maandamano ya wajinga naye anachekelea.
Ukiuliza unajibiwa na mabeo, siiro, ndugaali, na yule wa mahakama kyuu!
Mnategemea kuwa na 'Vichwa'
Thubuutu!!
Tunaambukizana miujinga.
Sorry, 'malelia' ndo nini??We jamaa mbona siasa imekukaa sana!? Ushabiki, usio na maana Sasa magu anahusikaje hapa!! Yani kama ni malelia yako imesha panda kichwani.
Memkwa!Sorry, 'malelia' ndo nini??
Tatizo ilikua umande ama ngumbaro???
Nimetupia mfano hai, kabla hata mate hayajakauka na wewe umejileta kama mfano hai mwingine.We jamaa mbona siasa imekukaa sana!? Ushabiki, usio na maana Sasa magu anahusikaje hapa!! Yani kama ni malelia yako imesha panda kichwani.
Haha mkuu sidhani mana kama Mekwa mbona jamaa Magu amewapa 'elimu bure'???Memkwa!
Teh teh