Mzungu aachwe tu,mtazamo wa mzungu si kawaida

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,086
15,958
Naangalia hapa discovery channel,wanaonyesha controversies mbalimbal znazojitokeza katka tafit zao huko kwenye sayar nyingne..daah,ujue hii tabia ya mzungu kufanya utafit tokea enz hizo wanazunguka dunian had kuja kuona bara la africa na kuanza kulishugulikia effectively,nadhan tuwape pongez hawa jamaa kwa gunduz zao,.wanaishangaza sana dunia,..ngoz nyeus maskin ya mungu wakat wenzetu wanafanya haya sis sjui tunafanyaga nin.daah,.nadhan hawa jamaa wanakitu cha ziada zaid ya bnadam wa kawaida,au either sis ngoz nyeus ndo si viumbe vya kawaida,maana wanasema mwanadam ana uwezo mkubwa sana,katumia tu 10% ya ubongo,sasa naona wenzetu weupe wanajishugulisha kwel,sis weus vp jamen?
 
Hawa wazungu na tafiti zao za kwenda kwenye sayari zisizo julikana mwisho wa siku wamchukize Mungu achukue uamuzi wa kuteketeza dunia yote na watatuponza sisi wafrika tusio jua kila kitu
 
Naangalia hapa discovery channel,wanaonyesha controversies mbalimbal znazojitokeza katka tafit zao huko kwenye sayar nyingne..daah,ujue hii tabia ya mzungu kufanya utafit tokea enz hizo wanazunguka dunian had kuja kuona bara la africa na kuanza kulishugulikia effectively,nadhan tuwape pongez hawa jamaa kwa gunduz zao,.wanaishangaza sana dunia,..ngoz nyeus maskin ya mungu wakat wenzetu wanafanya haya sis sjui tunafanyaga nin.daah,.nadhan hawa jamaa wanakitu cha ziada zaid ya bnadam wa kawaida,au either sis ngoz nyeus ndo si viumbe vya kawaida,maana wanasema mwanadam ana uwezo mkubwa sana,katumia tu 10% ya ubongo,sasa naona wenzetu weupe wanajishugulisha kwel,sis weus vp jamen?
Sisi ni weusi ni ngono tu
 
Sisi tungeweza kujitutumua isingekuwa magu kuhusudu kushangiliwa na kupongezwa huku akisifiwa kwa maandamano ya wajinga naye anachekelea.
Ukiuliza unajibiwa na mabeo, siiro, ndugaali, na yule wa mahakama kyuu!

Mnategemea kuwa na 'Vichwa'
Thubuutu!!

Tunaambukizana miujinga.
 
We jamaa mbona siasa imekukaa sana!? Ushabiki, usio na maana Sasa magu anahusikaje hapa!! Yani kama ni malelia yako imesha panda kichwani.
 
Nimetupia mfano hai, kabla hata mate hayajakauka na wewe umejileta kama mfano hai mwingine.
Daah! Mleta hoja uko vizuri kumukichwa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom