mitiani inaendelea hapa mzumbe.sema tunasikitika baadhi ya watu wamefukuzwaa chuoni kutokana na makosa waliyofanya bahati mbaya wengi wao mfano Act za law zimeandikwa maandishi ndani bila mtu kuiangalia vizuri ndani na facult of law wapo serious vibaya .yaani kwenye mtiani kuna mambo mengi,MUNGU atuepushe na majanga katika kipindi hiki cha mtiani