Mzumbe Sekondari

Wervemarcel

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
2,390
3,303
Wale tuliopitia uzumbeni tusikose graduation ya wadogo zetu form 6 itakayo fanyika mwezi wa 4. Binafsi nilikuwa na ishi mkwawa01 village nikiwa a-level. Pia pongezi kwa ex-mzumbe kwaajili ya ukarabati.

Karibuni wazumbe na kilakala wote "nyayo”?

Mnaopita hii thread msisahau kushare experience, events nk za uzumbeni. Siku ya kwanza kuripoti nilienda prepo kupiga msuli kwaajili ya woga. Wadau walinicheka sana na kuníita "mtabe". Wazumbe toeni experience ya pale. Chatu zone. Zongwe, Mongwe, Mzukila., Kilima Hewa.
 
Nakumbuka Siku Ya Kwanza Kuripoti Nilienda Prepo Kupiga Msuli Ingawa Nilikuwa Exhausted. Wadau Walicheka Sana Wakanibatiza "Mtabe". It was Unforgettable Day To Me Nikiwa Mzumbe.
 
Bweni la milambo 1 hiyo. nakumbuka asubuhi sana kuwahi uji na magudulia yetu, jioni kande. nasikia siku hizi kande hakuna. ukiwa vizuri mfukoni unapata SALO. nakumbuka disco la mzumbe university tulikuwa tunajimix sana tu. sisi tuliuwa watu wazima (advance), tukiwa hatuna hela tunashuka changarawe kwenye mambo flan hivi, halafu tunashushia na kitimoto ya mapande. tukiwa vizuri tunajimix na wanachuo kupiga gambe......
 
Ha haa haa! Enzi Zetu Tulikuwa na Munkari Wa Salo Tukipata Mpunga Canteen Ndo Panakuwa Dh. Alafu Tulikuwa Tunapiga Collabo Kwny Kula. Ukienda Mongwe Tunakimbiana But Unapigwa Majungu Na Wadau Kweli. Kwenye Events Perfumes Mpango Mzima Usipo Pata Demu Utasemwa But Ukibamba Utaambiwa Una Nyota. Cc Dragoon.
 
Back
Top Bottom