Mzumbe hawako makini kiutendaji

J Kitengo

New Member
Nov 7, 2011
1
0
Chuo cha mzumbe tawi la mbeya,hawakomakini kabsa ktk vi2 vifuatavyo.1.udaili wa wanafunzi wake,udaili hapa mzumbe unafanywa kiholela kwa mfano walitangaza mwisho wa udaili ni wiki 1 baada ya 17,cha ajabu mpaka leo watu wanadailiwa.2.ufundushaji.ufundishaji mzumbe ni wa kijinga utadhan 2ko primary au secondary coz right DIPLOMA IN LAW 1wanapiga kelele wakati walitakiwa wawewanasoma LEGAL METHODS.3.accomodation hapa mzumbe ni swala la kumtegemea mungu,mimi bnafsi nlireport tarehe 17oct cha ajabu nlipata chumba kesho yke mchana ukizngatia nmetoka dar,sna ndugu mby on top of dat nilishalipa zaman acmdtn fee,mi nina bht coz nilipata wapo wengi waliokosa vyumba ndan ya chuo...kwa ujumla chuo kzima kipo kibiashara zaidi kwa ss watu 2naishi vyumba vya juu 2nashda sana maji hayapandi,pia majengo ynyw ymechoka kiasi kwamba yanatishia usalama wetu.ni hayo 2 mamember wenzangu,2shazoea maisha ya kubahatisha,maji si salama,vyoo vichafu kuna jengo moja wanalokaa wasichana halina vyoo kuanzia juu mpaka chini.ni hayo tu
 
Kwa jinsi unavyoandika, umeenda chuo kwa bahati.Soma ujifunze namna ya kuandika na si kuandika upupu kama ulivyofanya hapo juu!
 
Kama wewe uliyetoa maoni kwenye topic ya muungwana huyu ulisoma, basi ndiyo wale wale wa marks za mezani. Nenda hata main campus leo hii, ulizia first year walipoingia hali ilikuwaje. Ni vema chuo kijirekebishe pale kinapopata feedback kama hizi.
Unavyo claim kwamba ameenda chuo kwa bahati.......... wewe ulitaka aingie kifisadi ndiyo useme ameingia kihalali!
 
Kwa jinsi unavyoandika, umeenda chuo kwa bahati.Soma ujifunze namna ya kuandika na si kuandika upupu kama ulivyofanya hapo juu!

Inaonyesha wewe mwana bodi wa chuo hicho cha Mzumbe unatetea posho, alicho andika hakina ukweli wowote?
 
Achani kiulalamika kusoma Bongo. Mmeshindwa kuungana na Wanachadema kutetea mabadiliko sasa mnalalama hivyo bac mnastahili kutendewa hivyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom