Mzuka umepungua

kuwa mbunifu na wewe,kama anakuwa amechoka ni kwa sababu humuandai vizuri,wanaume wana jukumu kubwa kwenye foreplay ingawa literally ni jukumu letu sote.ukimuandaa vizuri utafurahia mchezo kama unapiga bao moja ila ni quality game mie nadhani inatosha......na kisha jaribu kufanya mazoezi na kumsaidia mtoto wakati unaporudi kazini hii itakusaidia mwili uchoke ili upumzike na kupunguza mawazo ya ngono......
 
Embu na wewe jitume sio kulalamika tu, mtoe out mkeo, mpeleke viwanja vya ugenini upewe maneno, umemkalisha hapo ndani iaka yote sit unadhani anajisikiaje, akiangalia mapazia rangi ileile, godoro lishabonyea, rangi ya chumba ileile, kuwa mtundu, wakati mwingine lianzishe hata bafuni.kwenye parking wapi uone moto wake
 
kwenye parking....lol
umenikumbusha mbaali..
 
Tatizo, wanaume tumekuwa na mitazamo ya ajabu sana kuhusu swala la kujamiiana, hii ina kuja haswa tunapozungumzia kujamiiana na wake zetu, mara nyingi unapokuwa na uhusiano na msichana kabla hamjaamua kuishi pamoja, mnapojamiiana inakuwa tofauti sana na mnapokuwa mkiishi pamoja pamoja. Tendo la ndoa linaharibiwa kutokana na kuzoeana sana kwa wanandoa, ule utundu na ujuzi ambao mlikuwa mkionyeshana hapo mwanzo unakuwa haupo kabisa, unapokuwa na mwanamke wa chap chap ambae unajua hutampata tena au hutampata hivi karibuni ndo inatokea unatwanga goli mpaka 6, lakini inapokuwa kwenye ndoa kwasababu unajua utapata wakati wowote kwahiyo speed inapungua ( mazoea). Lakini je ni kweli unataka hizo bao zote 6 zanini, unataka kumuonyesha ufundi wa nini huyo mzazi mwenzio? Sikia Kaa chini nae zungumza naye, tafuta namna ambayo utamweleza ili akuelewe kisha atafute namna ya kukusaidia, by the way USIRUKE UKUTA PLEASE.
 
Wakuu tatizo la ndoa ya huyu bwana ni kubwa kuliko tunavyodhani. Jamaa ana a very complex problem lakini naona wengi tunampa simple answers (Ukikwete - simple answers for complex problems).

Hili tatizo nimewahi kulipitia na linasumbua sana na mpaka sasa i probably do not have a complete answer or solution to the problem. Ukiwa na wife/GF more than 5 yrs hata kama hajazaaa mtoto mshawasha huwa a unapungua kisi fulani (nakumbuka Shantel aliwahi kuomba ushauri kwakuwa BF wake alikuwa too predictable mpaka anamboa-yani wakianza anajua jamaa atanza wapi, baada ya hapo atafanya nini then atamaliza vipi nothing new nothing exciting). Sasa wife/GF akizaa, kunenepeana na kuconcentrate na mtoto na kukusahau wewe hapo mambo ndio yana get worse. It is a very complex problem inayosumbua ndoa nyingi.

Ushauri - mkuu inabidi ubadili life style yenu completely japokuwa this can be only half of the solution. Inabidi every other weekend uwe unampeleka mtoto wenu kwa mama ako au mama ake au ndugu yenu fulani. Wafanyakazi na ndugu mnaokaa nao pia wawe wanaondoka (may be friday wanarudi jpili jioni). Wakati meachwa wawili tu peke yenu muwe mna act kama ndio mmeanza ku-date each other. Muwe mna act kama watu walioanza mapenzi. Mnavaa vizuri mnatoka. Mnaenda kudance the night away kunywa na kuenjoy bila usumbufu wa mtoto wala nini. Wakati mwengine mnalala guest na kupeana chakula cha usiku motomoto. Kama mkirudi home kama allivyosema blackberry njiani lazima mama ale koni, na mkifika nyumbani unamuwashia moto kuanzia kwenye gari, sebuleni, jikoni mpaka bafuni. Weekend zingine mnaweza kukaa home na kuorder chakula (chips kuku) na kupumzika ndani tu, wife kavaa t-shirt na victoria secret tu siku nzima, miziki laini, kuangalia movie, kufanya mapenzi au kwenda beach/mchangani au bar ya jirani na home. Punguza kulala na mtoto chumba kimoja, punguza kifo cha mende. Mwambie wife abadili perfum, hair style, mavazi etc. Na wewe pia badilika ili umvutie yeye pia. pia jaribu kutafuta solutions za stress zozote ambazo zinaweza kuwa zinasumbua ndoa zenu.

Kwakifupi badili life style hiyo itakuwa half of the solution maana hii issue iko complex and different kwakila mtu.
 
Tatizo, wanaume tumekuwa na mitazamo ya ajabu sana kuhusu swala la kujamiiana, hii ina kuja haswa tunapozungumzia kujamiiana na wake zetu, mara nyingi unapokuwa na uhusiano na msichana kabla hamjaamua kuishi pamoja, mnapojamiiana inakuwa tofauti sana na mnapokuwa mkiishi pamoja pamoja. Tendo la ndoa linaharibiwa kutokana na kuzoeana sana kwa wanandoa, ule utundu na ujuzi ambao mlikuwa mkionyeshana hapo mwanzo unakuwa haupo kabisa, unapokuwa na mwanamke wa chap chap ambae unajua hutampata tena au hutampata hivi karibuni ndo inatokea unatwanga goli mpaka 6, lakini inapokuwa kwenye ndoa kwasababu unajua utapata wakati wowote kwahiyo speed inapungua ( mazoea). Lakini je ni kweli unataka hizo bao zote 6 zanini, unataka kumuonyesha ufundi wa nini huyo mzazi mwenzio? Sikia Kaa chini nae zungumza naye, tafuta namna ambayo utamweleza ili akuelewe kisha atafute namna ya kukusaidia, by the way USIRUKE UKUTA PLEASE.
Mkuu hawa wa bao sita si wale wa dk 2, mke anajionea tabu tu, yeye angejituma bao moja nusu saa hadi lisaa aone kama atataka kurudiarudia
 
Back
Top Bottom