Mzuka umepanda

Wajad

JF-Expert Member
Jul 20, 2012
1,321
604
Vingiri vingiri vingiri vingiri kuvingirisha mauno kwa speed kali ni kwa furaha ya wewe unayezungurusha au ni jitihada za kumfurahisha mwenzio mchezoni? Ok, kama ni hivyo jaribu kusoma spidi ya mwenzio ili mwende sambamba! Mwenzio kibati cha accelerator hadi mwisho ana speed ya trekta wewe unampeleka kasi ya RAV4, mtafika?! Guta (baskeli ya magurudum3) likivutwa na full speed ya Bajaj litachomoka matairi kama sio kupinduka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom