Mzizimkavu kaadimika

Mkuu Tee Bag Kweli nimjiweka pembeni na Mafisadi wa escrow Wakubwa wanahusika ndio maana nimekaa pembeni.

Kama ubavu wako mdogo mkuu kaa pembeni uangalie wenye meno watafune ila iko siku yatawakwama halafu naona si mbali
 
Last edited by a moderator:
Kama ubavu wako mdogo mkuu kaa pembeni uangalie wenye meno watafune ila iko siku yatawakwama halafu naona si mbali
naiman64 vingine havitafuniki wala havimezeki
Nimekumbuka ule utani wa wamakonde UKITEMA NCHALE...UKIMEZA NCHALE...! Ndivyo ilivyo pesa ya escrow sasa
 
Last edited by a moderator:
Kama ubavu wako mdogo mkuu kaa pembeni uangalie wenye meno watafune ila iko siku yatawakwama halafu naona si mbali
Mimi sio Mwana Siasa hata kam ni Mwana Siasa siwezi kushiriki Siasa za kiafrika hazina Demokrasia ya ukweli uongo mtu hakuna Demokrasia Afrika U-Dikteta umezidi kwa viongozi wa nchi za Kiafrika wanap0enda kung'ng'ania madaraka hawataki kuacha madaraka wakisha kuwa kwenye Uongozi mpaka watolewe kwa mtutu wa bunduki sitopenda kamwe kushiriki Siasa Uchwara za Ki-Afrika sina Time kabisa naiman64
 
Last edited by a moderator:

Ni safi sana na ya kweli lakini yanadabishwa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…