MziziMkavu Huyooooooooooo

Ndio inavyotakiwa kuheshimu mavazi ya kazi, sio mtu anapiga shoshine halafu mchafuuuuuuuuuuuuuu
 
nimempenda kwakweli.
sijui akilinganishwa na makondakta wetu ikoje hii hasa wa mbezi kkoo ama mbezi kawe lol!
 
kwa haraka haraka unaweza kudhani ndio katoka sokoni kununua hizo ndizi na anazipeleka nyumbani...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…