Mzinduzi wa Maonesho Ageuka Onesho

Nasikia mtoto sasha obama alilia na kuanguka alipomwona pinda
 
kua uyaone ndio haya..................
View attachment 100573


Nashangaa kwa mara ya kwanza naona Pinda anacheka bila kulia kwani alishajuwa kuwa jamaa ni kituko, anafungua maonyesho hata chupi hajavaa. Tamaduni zingine hizi jamani, hivi si nasikia na sie Tanzania tunataka vazi la taifa liwe hili? Jamani tutaweza kweli, si watu tutabakana tu, daladala imeshehena mtu anajiingizia tu dushelele kwa demu tena bila hata haibu.
 
kuna nchi JK alialikwa akawambiwa avae kama hivi kwenye dhifa ya Taifa....akachomoa
 
kuna nchi JK alialikwa akawambiwa avae kama hivi kwenye dhifa ya Taifa....akachomoa


Samahani lakini, kwanini sie tulilie vazi la taifa kama hili na hilo vazi la taifa linatusaidia nini? Sasa kama gunia hili alilovaa huyu mfalme anaonekana kituko kwanini sie tumuige? JK hongera zake kwa kukataa ujinga kamaa huu. Vya wamasai waachie wenyewe wavae, ya nini kuwaingilia?
 
sidhani kama la kwetu litakua hivi
 
Huyu na wasira nani ana sura ngumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…