Lazima Mzindakaya Amsifie Mkapa. Kwa Taarifa Ni Kwamba Wakati Wa Uongozi Wa Mkapa, Mzindakaya Ni Kati Ya Watu Waliofaidika Na Msamaha Mkubwa Wa Kodi Kwa Ajili Ya Kampuni Yake Ya Kilimo Iliyoko Huko Kwao Rukwa. Alisamehewa Msamaha Mkubwa Wa Kodi Kuliko Mtu Mwingine Yoyote, Mbaya Zaidi Aliutumia Msamaha Huo Kuingizia Magari Yake Na Vitu Vyake Vya Kifahari, Tofauti Na Malengo Ya Msamaha Huo.
Sasa Kwanini Asimtetee Mtu Aliyemnufaisha? Hawa Wanateteana Ili Kufucha Madhami Yao Binafsi Lakini Ukweli Wanaujua Wenyewe.