Mzigo umetema: "WADA database hacked by Russians" safi sana

Mzigo umetema: "WADA database hacked by Russians" safi sana

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,813
Ukuda walioifanyia Russia sasa unaelekea ukingoni kwani database Yao wanaume WA kazi wameshaidukua Na wameahidi kumwaga ugali kwa fujo kwani hao the so called World Anti Doping Agency (WADA) wenyewe ndio walitangulia kumwaga mboga.

Sasa wanaume wapo kazini Na this week we are going to see how some WADA tycoons will be in coma.

Wale US PHOBIA mjiandae mabingwa WA IT kutoka Moscow Na St Petersburg watafanya Yao pale akina Serena , Venus Na Bailey watakapoanikwa.

Ujanja kwishnee. [HASHTAG]#teamRUSSIA[/HASHTAG]Work

Updates.....

The British Olympic Association (BOA) is bracing itself for Russian hackers to leak the names of another 48 team of Great Britain athletes who competed in Rio having held a current or previously held Therapeutic Use Exemption (TUE).

Angalizo Ili uelewe topic vizuri lazima ujue kilichokua kinaendelea Brazil ktk jiji la Rio asa Olympic.
 
Kitendo cha russia kuhack hizi agencies kinaongeza tu rusophobia na ndio maana kila data flan znapoleak marekan hupoint kwa tussia coz wanajua watu watazidi kuwahate warusi......hii haiwasaidii sana bora waendelee tu kumgwa assange awe anawarushia
 
Man Agustino Regnald mbona topic inaeleweka iko hivi Kama ulikua unafatilia Olympic ya Rio- Brazil Kuna wanamichezo wengi tu WA Urusi walipigwa stop eti wanatumia madawa yaliopigwa marufuku michezoni kumbe ilikuwa Ni janja ya nyani ya kuwaonea Warusi kutokana Na misimamo ya serikali Yao.

Sasa warusi Kama kawaida Yao ya mambo ya kudukua wameshafanya Yao katika database ya WADA or anti doping agency huko wamekuta madudu Na mda wowote watarelease each and everything ila wataanza Na Serena, Venus Na yule mdada anaitwa Bailey.
Ukishindwa kuelewa basi utakua US-phobia.
aisee naomba unieleze deep kidogo
 
Jf sikuhizi ina mburulaz mpaka inaboa, sasa wewe kutwa kucha uko kufuatulia sijui nani na nani hiko insta kwenu halafu unategemea uelewe mada za issue za kimataifa!!!
Miye na wengine waliofafanua hapo nimeelewa, lakini bado mtu anasema elimu iwe revised, we kama ulisoma St kidumu bana usizingue
 
Kwa stahili hii tunasafari ndefu jamani mbona kila kitu kinaeleweka dah au ndio kutafuniwa kila kitu au usingizi ? Inshort elimu ya kibongo inatakiwa ikukomboe wewe uweze kufikiria nje ya box.

Elimu ya bongo inahitaji kuwa reviewed. Watu hawajui kujielezea wala kuandika manina. Inatia hasira sana.
 
Uongo tu. Kama wanamichezo wa Russia wangekuwa hawana hatia Serikali yao isingeruhusu waliobaki wacheze Olympic.

Hapo Russia wanajikosha tu . Kama wale wanamichezo walioondolewa ingekuwa ni mizengwe Russia ingewa_prove wrong watu anti doping
 
Kwahiyo Russia wana shida na US tu, na sio kuanika na nchi nyingine?
Kwanza kitendo walichofanya kilikuwa si cha kiwanamichezo, huwezi kuwapa madawa wamichezo wako watu wakakaa kimya, sikuwahi kufikiria kama nchi ingeweza kufanya madudu yale. Kama kuna wengine wamefanya madudu kama ya kwao waanikwe.
Ninasubiri kuona watakuja na jambo gani!!
 
Uongo tu. Kama wanamichezo wa Russia wangekuwa hawana hatia Serikali yao isingeruhusu waliobaki wacheze Olympic.

Hapo Russia wanajikosha tu . Kama wale wanamichezo walioondolewa ingekuwa ni mizengwe Russia ingewa_prove wrong watu anti doping
Ule mpango ulikuwa ni wa kweli Mkuu, wengine wanafanya doping kisiri siri ili hata wanamichezo wenzao wasijue, ila ya Russia serikali ndio iliratibu!!
 
Wenyewe wanadai Kuna baadhi ya wanamichezo wanaokingiwa kifua Na WADA asa kutoka nchi kubwa kubwa Kama US , GREAT BRITAIN etc.

Uongo tu. Kama wanamichezo wa Russia wangekuwa hawana hatia Serikali yao isingeruhusu waliobaki wacheze Olympic.

Hapo Russia wanajikosha tu . Kama wale wanamichezo walioondolewa ingekuwa ni mizengwe Russia ingewa_prove wrong watu anti doping
 
Mchecheto wa nin kijana kutoa habar ni proffession so kuwa mwangalifu, uskurupuke kisa unazi wako na warusi...mbaya zaid warus hawanaga UFAGIO na mtu nimekushangaa sana kijana cjui dogo
 
Ahaa mkuu sina mchecheto habari imeeleweka Sana.

Mchecheto wa nin kijana kutoa habar ni proffession so kuwa mwangalifu, uskurupuke kisa unazi wako na warusi...mbaya zaid warus hawanaga UFAGIO na mtu nimekushangaa sana kijana cjui dogo
 
Back
Top Bottom