Mkuu, tatizo nikipata picha za mzigo XXL, JF wanazitoa, ni full censorship. Utasema tunaishi Urusi ya kijamaa. Inabidi nihame hapa. Niliomba members only lakini hawajibu email, kazi ni za kibongo bongo sio professional kabisa. Wanasema JF ni huru, kumbe upuuzi mtupu.