Mzee wangu, kumbe uchoka kiasi hiki?

Mzee wangu, kumbe uchoka kiasi hiki?

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
2,622
Reaction score
3,144
Kwa kawaida tunasema"Chema hakidumu"
Mzee wangu kusema Viongozi wazuri hawafi ni uongo mtupu.

Hii ni njia inayotumika sana na WALAMBA ASALI ili kumpumbaza Mama, na hivyo aendelee kuwapa nyadhifa ndani ya Chama na Serikali ili malengo yao yaendelee kutumia.

Kwa sasa Mama wanampeleka watakavyo. Hali hii ikiendelea, Nchi hii itakuwa shamba la Bibi mara mia zaidi.

Rai yangu kwa Mama ni kwamba, kama kweli anataka kuleta usawa na maendeleo katka Nchi, asiwasikilize sana wanaomsifia kila uchao.

Mara wanampa Heshima ya udaktari, hiyo yote ni mikakati ya MAJIZI ili aendelee kuwapa nyadhifa.

Mama akitaka kufanikiwa kuondoa dhuluma na kuleta usawa katika Nchi hii, awasikilize zaidi wanaomchallenge hadharani na Watanzania wanyonge/maskini.

Akiwasikiliza walioshiba, watampa sifa za kila aina kwa nyakati tofauti tofauti ili waendelee kula.

NB:- Mungu ni mkubwa sana. Ipo siku ukombozi wa kweli katika Nchi hii utapatikana tu.
 
Mkuu

Ile kauli siyo ya Bahati MBAYA!

Katumwa yule kusema yale!

Na sasa kauli ile inaenda kizaa vita Rasmi ya kimadaraka!

Bashiru alisema yale akiwakilisha upande wake na akapata back up ya MNF!

Huyu Mzee kajibu akiwakilisha vijana wa mjini!

Sasa je taasisi inayopigania maslahi ya Taifa pekee itakubali nchi kuwa chini ya upande fulani cha ukoo au genge la watu fulani pekee!?

Kama una karama ya kuandika kitabu andika kitabu cha "Tanzania ya mwaka 2015 Hadi 2030"

Kitauza Sana

Maoni HURU

Ngoja TUSUBIRI
 
Back
Top Bottom