Kwa hiyo siku akifa hutoenda kumzika Kwa sababu ni ccm?
Yaani umkane au ukosane na ndugu yako kisa Wana siasa ambao nao wapo wanatafuta madaraka ili familia zao zineemeke?
Lisu mwenyewe ambaye amefungwa jera katoa pole kwani yeye ni mjinga?