excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,463 Reaction score 17,960 May 8, 2015 #1 huyu joka unayemwona ameshikiliwa na mwana nzengo alikuwa ni mzee muumini mzuri sana wa kanisa (nadhani mnamkumbuka vizuri, tukio lilitokea Arusha).. Tujikumbushe kidogo jinsi wadau walivyoshiriki kumuua mzee wa kanisa-joka aliyebadilika.
huyu joka unayemwona ameshikiliwa na mwana nzengo alikuwa ni mzee muumini mzuri sana wa kanisa (nadhani mnamkumbuka vizuri, tukio lilitokea Arusha).. Tujikumbushe kidogo jinsi wadau walivyoshiriki kumuua mzee wa kanisa-joka aliyebadilika.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 May 8, 2015 #2 ameamua kuponda nyoka kwa shoka si kwa kisigino
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 May 8, 2015 #3 Kweli toto danganya loli pop na penye vipofu chongo huwa mfalime
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 May 8, 2015 #4 Hebu weka maelezo ya ziada basi tuelewe kisa chote... Excel said: Tujikumbushe kidogo jinsi wadau walivyoshiriki kumuua mzee wa kanisa-joka aliyebadilika. Click to expand...
Hebu weka maelezo ya ziada basi tuelewe kisa chote... Excel said: Tujikumbushe kidogo jinsi wadau walivyoshiriki kumuua mzee wa kanisa-joka aliyebadilika. Click to expand...
DOGofGOD JF-Expert Member Joined Feb 15, 2015 Posts 1,341 Reaction score 480 May 8, 2015 #5 I didnt understand!
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,370 Reaction score 14,522 May 8, 2015 #6 Hapo cjaelewa kitu kabisa,jamaa taarifa yake haina nyama za kutosha za kufanya tukuelewe kiurahisi.
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 May 9, 2015 #7 Nakumbuka....
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 May 9, 2015 #8 Sijafaamu hata kwa picha sija fahamu bado kusudi la uzi