Mzee Pinda atua Iringa kama mlezi wa CCM wa mkoa. Je, atafanikiwa kumng'oa mchungaji Msigwa pale mjini?

Kitine alishindwa kwa sababu za ukabila na ndio sababu baadae alienda kugombea kwao Makete!
Mimi nilishiriki kwenye Kampeni zile na ninajua si kwa sababu za ukabila. Kwani Kitine alishindwa kwa kura ngapi? Na mwaka 1996 aliposhinda Ubunge wa Makete mbona alikuja Iringa kushukuru?
 
Back
Top Bottom