Mzee ndo kama ulivyosikia!

kila kona kuna paparazi mtu ukileta utumbo tu wanakunasa.
 
Nipo upande wa Uhuru Kenyatta, lakini nikiwa lawyer nimefurahishwa na jurisprudence na uhuru wa maamuzi ya mahakama ya Kenya. Tanzania mahakama yetu ya rufaa imepoteza dira kabisa, ipo busy ku deal na technicality badala ya hoja za mgogoro husika. Out of 100 decisions of Tz court of Appeal decisions, only 8 or less is on merit, the rest are on a very stupidy technicality!! Hata kabla ya uamuzi wa leo wa Kenyani Case nilishasoma kesi nyingi za Kenya ambazo zina akili ya kutosha. Hapa tz court of appeal ilikuwa zamani na si sasa kwa hawa wavivu wa kupambanua mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…