Mtu wa Kigamboni
Member
- Jul 24, 2015
- 80
- 38
Katika kipindi cha Tuongee Asubuhi Mzee Mkinga (Mwanaharakati) amekichambua kitabu cha Historia dalasa la NNE na SITA anasema hakuna kilicho sahihi. Wanahistoria tu naomba ufafanuzi mliomsikiliza !
Inamaana alivyo sema hivyo ameishia hapo hapo.Katika kipindi cha Tuongee Asubuhi Mzee Mkinga (Mwanaharakati) amekichambua kitabu cha Historia dalasa la NNE na SITA anasema hakuna kilicho sahihi. Wanahistoria tu naomba ufafanuzi mliomsikiliza !