Mzee Mkapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee Mkapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Semenya, Jan 2, 2010.

 1. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2010
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Mzee Mkapa yuko wapi?Sijamuona katika msiba wa Mzee kawawa, kulikoni?.
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mzee wa watu mwacheni apumzike!!!
   
 3. J

  Jmpambije Member

  #3
  Jan 2, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkapa yupo kwenye mazishi.
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kweli wamuache apumzike ale pensheni yake ....daaah naangalia hotuba ya mzishi ya kawawa nacheka kweli translator anachapia kishenzi...hahaaaaa kireno kazi sana...
   
 5. Semenya

  Semenya JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2010
  Joined: Sep 5, 2009
  Messages: 572
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  Leo kajitokeza Mekutana nae katika mazishi, na tumesalimiana.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mwacheni wadau apumzike. Lipumba kanifurahisha kwenye hotuba yake aliposema Kawawa alisikitishwa sana na wanasiasa wanaohamahama vyama kutafuta maslahi na vyeo, umati wote ukacheka hapo moja kwa moja ni dongo kwa Mrema
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Tena amekaa nyuma ya Kikwete kwa upande wake wa kushoto
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  yeah hata mi nimemwona yupo alive and fit. mwacheni apumzike
   
 9. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2010
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,798
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  ..hata lowasa jana tulimuona nyuma ya jk
   
 10. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #10
  Jan 3, 2010
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Msiba utawaunganisha ama kuwabomoa.
   
 11. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  yuko kwake anaenjoy...ni-PM nikupe namba yake ya simu...
   
 12. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Picture by Michuzi blog.
   
 13. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,659
  Likes Received: 21,876
  Trophy Points: 280
  Umejibu kwa vitendo mkuu, nadhani mada imefungwa.
   
 14. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  Duh! wengi wanasema ati mwacheni apumzike! Hivi Fisadi Nambari Wani apumzikeje? Alitakiwa awe jela huyu. Wabongo bwana, wezi wanapumzishwa!
   
 15. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2010
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Duhhh teheee tehehee teheeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Kaibe kuku uone siku ya pili jela !!
   
Loading...