Mzee Malecela atoa tamko - Amuunga mkono Paul Makonda

Mzee Malecela atoa tamko - Amuunga mkono Paul Makonda

Huu ni unafiki wao kama wakongwe walikuwa wapi?hadi huyo anaemuita dogo ajitokeze!!!au ndio kudandia gari kwa mbele?CHOCHEA CHOCHEA....×9
 
Huyu babu vipi? Mbona sekretariati kupitia Mangula na Nape walishatoa msimamo wa chama kwamba wale wote wanaojipitishapitisha watakosa sifa ya kugombea?
Sasa huku kujitokeza sasa kuongea na vyombo vya habari si ndiyo kuzidi kuthibitisha kuwa chama hiki tawala ni vipande vipande, kila kipande kikipayuka kivyake na kuacha misingi na taratibu zake za kumaliza tofauti zao kwenye vikao.

Kwa mwendo huu wa hivi karibuni chama hiki kinajiandalia kaburi lake.
 
Kumbe Paul Makonda alitumwa!!!!!!! Loohh!! Siasa hizi

Mkuu Kwamtoro, unafikiri yule kijana mdogo bila kuwa ametumwa angeweza kutoa tamko la nguvu namna hiyo na hasa linalomgusa moja kwa moja "President in waiting"?

Tiba
 
Ahh ahhahah siasa za Tanzania ndio zimefika hapa!!!! haya ngoja tuone siku Kuku wa CDM na CCM wakijitokeza wenyewe...maana siku hizi kuna kuku na vifaranga.
 
Mzee wangu Malecela, unaipongeza kweli kwa dhati sekretariat ya katibu mkuu Kinana? Mbona mwenyekiti wa ccm hakuona hivyo? Au upo kinyume na mwenyekiti?

Hata mimi nashangaa kiti ndio cha kulaumiwa lakini wanazunguka zunguka tu !
 
Hehehe! Hadi nawaonea huruma aisee. Unaona kabisa ni matamko yaliojaa woga halafu mbaya zaidi Lowassa is quite. Kimyaaaa anasogeza kete tu!
Hahaha Lowassa is playing the game of chess while the rest are playing draft. Wapi na wapi banaaa!
Ukimya wa Lowassa noma sana aisee, haki ya nani kuna watu watakua wakimbizi hapa Tanzania soon.
Ni lini Lowassa kasema ameanza mbio za kugombea uraisi? Nyie mnaokurupuka jamaa anawasoma tu kuweza jua his enemies and foes come the day!
Jaribuni kucheza na Lowassa at his IQ level!
 
yeye anaongea kama nani??asubiri kufa huko kijijini kwao wandugu,halafu ana habari mtoto wake aliyekuwa usa anavyoishi maisha mabovu hapo dar?

Huyo mwanae ni kiongozi flani ccm, fungua blogu yake ya "Le mutuz" umwelewe vizuri
 
Mamaa Anne Kilango Malecela katajwa jana ktk list ya waasisi wa CCJ! Naona hasira alizokua nazo mama, mzee wetu hakulala. Yawezekana hata taarifa hii mzee amelazimishwa kuitoa kwa waandishi wa habari! Pole sana mzee Malecela ndiyo matatizo ya kuoa kizazi kipya!!!
 
Halafu nilisdikia kuwa Le mutuz ni mtoto si riziki sio?
Kama ndivyo, basi CCM imesheheni laana na ndio maana gharika kama la sodoma na gomola linaikuta. Kuanzia mafisadi, magaidi, wabakaji, majambazi, majangiri na sasa watoto wa kiume si riziki au ndio udigitali huu. Kama kufa chama hiki kimechelewa miaka kumi kwa laana hizi
 
Chama cha mizigo nashangaa hata wanaokishangilia hadi sasa...tuachane na CCM inatumaliza
 
Mamaa Anne Kilango Malecela katajwa jana ktk list ya waasisi wa CCJ! Naona hasira alizokua nazo mama, mzee wetu hakulala. Yawezekana hata taarifa hii mzee amelazimishwa kuitoa kwa waandishi wa habari! Pole sana mzee Malecela ndiyo matatizo ya kuoa kizazi kipya!!!

Una maana jana alinyimwa kupanda jukwaani kisa mamaz katajwa kwenye orodha ya CCJ Founders? Jamani ukweli ni kwamba familia ya Tinga Tinga ilimuandaa Le Mutuz a.k.a Le Totoz kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM.
Le Mutuz Le Gambaz Oyeeeeee!!

Nachochea kuni mbichi! Ukiulizwa waambie ni Utani, huku kwetu tuna makabila 112!
 
huyu alipewa milioni200 na patel ili ahonge apitishwe mgombea urais,lowassa na rostam walimpiga fitna mpaka mtu kikwete akapita,ana chuki binafsi,ndani ya ccm lowassa anaogopwa hadi na jk,huyu mzee ataomba radhi kwa mamvi soon

Muungwana righteye... umeniwahi kupost hiyo nyundo ya utosi kwa maCCM. Haitatokea kamwe kwa maCCM yeyote kumjaribu hata kwenye ndoto kumgusa ndevu Mzee mamvi. M/kiti wa chama JK na Manywele lao moja ni kama pete na kidole... na maCCM wanalijua hilo.

JK anajua kitu gani mamvi alichomtendea na Rostam na timu yake hadi akawa pale Ikulu, bila wao ASINGEPATA KITU ASILANI.

Anachofanya JK ni kuaacha kila mtu acheze kivyake huku nyuma ya pazia yupo na mamvi, ili mamvi ashindwe mwenyewe kwenye uchaguzi 2015 ili asibebe lawama ya kumkwamisha....anarudisha fadhila kwa sana tuuuu.
 
Kama ndivyo, basi CCM imesheheni laana na ndio maana gharika kama la sodoma na gomola linaikuta. Kuanzia mafisadi, magaidi, wabakaji, majambazi, majangiri na sasa watoto wa kiume si riziki au ndio udigitali huu. Kama kufa chama hiki kimechelewa miaka kumi kwa laana hizi
Nilisahau, kuna pia wabemendaji wa vivulana kama afanyavyo yule mama wa viti maalumu aliyefunga ndoa feki kwa Mch feki Rwakatale
 
Zitto Amuunga mkono Makonda adai hiyo ni demokrasia ameitumia vyema

Ametwit hivyo ZZK
 
Back
Top Bottom