Mahojiano ya wasanii hayaaminiki kama ahadi za wanasiasaHivi hizi pesa wanazotuambiaga wanalipwa zinaenda wapi?? Wastara aliutangazia uma kuwa kaingia mkataba na kampuni ya simu ya china kuwa analipwa mill 400 kwa mwaka lakini alipoumwa ilibidi wadau wamchangie walau mill 70 ya kwenda kutibiwa India. Leo nayaona pia kwa mzee wetu Majuto.. Hapo chini kwenye screenshot ni mahojiano ya Millard na mzee Majuto mwaka jana.
Mi bado nawaamini wacheza Sinema. View attachment 759256
kaomba msaada katafute mahojiano yake na shilawadu utaona na kusikia akiomba msaada.Kutoa ni Moyo
Mzee Majuto hajaomba mtu msaada
Isipokuwa mashabiki wake tu ndio wanaumia kumuona anaumwa na kujiuliza kwann asiende ktk hospitali za nje kwa matibabu zaidi,ndio wanaamua kumchangia
Mzee majuto ni mtu wa watu,
Na ndio maana siku ya kwanza kupelekwa muhimbili ikasemekana kuwa kakosa kitanda,JPM mwenyewe ilibidi afanye ziara ya kushtukiza muhimbili ili akamskie kilio chake Majuto lkn kwa hekma na busara za mzee majuto alisema kuwa kapokelewa vizuri[emoji1321]