Mzee kioo kimemwumbua

hahahahhaaaaa halafu uje kukuta ni Baba mtumishi huyo, mie simo
 
hahahahhaaaaa halafu uje kukuta ni Baba mtumishi huyo, mie simo

Hehehe sijui nini kilimpata maana hayo maeneo si ya kuangalia hayo
 
Mkuu Viol umeua , yaani mzee anajifanya wa hshima kumbe ni mwendo wa "kujiripua" kwa kwenda mbele.
 
Last edited by a moderator:
Hawa wazee unawaona hivi ila wana mambo

kweli mkuu, afu ndo mbaya zaidi ukute ni mnene mahala / ofisi flani , sasa yupo safarini kwenda kazini kuongoza usaili (NITERVIEW) mahala flani ...hapo ndo wasailiwa mjiandae kwa kimbembe. hasa jinsia ya KE.
 
ha ha ha yeye anapiga chabo kumbe kuna mwingine anampiga chabo yeye mwenyewe kazi kweli kweli
 
Kwani mambo ya utamu nayo huwa yanamuda wake??hapo anacheki then akaaply hzo style mahala.
 
ha ha haaa hapo mzee atakua ana ukame wa hatari, anatamani safari ifike mwisho akatoe dozi kwa demu wake, kama hana demu sabuni itamkoma...
 
mzee anachek tutorial , mbona hamna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…