Kingunge-1972 akiwa RC wa Singida kwenye marekebisho ya Katiba kuhusu wabunge wanaoteuliwa kuwa wakuu wa mikoa,kwenye caucus ya chama iliyokuwa chini ya Mwenyekiti Kawawa alipinga marekebisho ya katiba yenye lengo la kulinda maslahi ya wachache!!!
Anaongea sasa hivi, mlio karibu na TV tazameni
Mchakato wa kumsikikiza mgombea na kamati kuu kumsikikiza kika mgombea ili kubata best nominee haikufatwa