Mzee JUHA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Chini na juu tano barabara kujenga nimeamua magumu yamakuwa mambo kuona ya baada Juha mzee. chini na juu barabara nitajenga umepaa uchumi unasema matongotongo kutoa ya kabla asubuhi unaamka mtu sio Master Plan na iwe inabidi hii nchi. mazuri sio kukurupuka ya maamuzi kitendawili ni bado miundombinu inayoendelea nchi kwa.

Hii nchi kuongoza watusadie hili nchi wa thinktank tusiwauwe inabidi.

Kwa leo ni hayo tuu WanaJF
 

nimependa huo ubunifu
 
I like it. Mambo ya Bwana Msa wa riwaya ya 'Kisiwa cha Giningi' na kakitabu kake ka 'Kinyume cha Mambo'!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…