Mzee Jenerali Ulimwengu amtembelea Freeman Mbowe

kuna mtu namuona anagombea Urais 2025 halafu kuna jamaa atagoma na kubakia hukohuko aliko baada ya uchaguzi kitakachotokea itakuwa balaa...

ni draft tu na karata zinachezwa...
 
Mbowe ni rais ajaye.
 

Habari mbaya mno kwa akina Phillipo Bukililo
 
Huyo ulimwengu kwani ana uzito gani kwenye siasa za tanzania siku hizi? Eti mwanahabari nguli, ..kasoma sheria juzi uzeeni mnamwita mwanasheria nguli. Njaa tu inamsumbua. Huyu mtu alijifanya mwanamapinduzi wa kijamaa ujanani hivi leo ni mliberali sawa na lisu. Anapigania uhuru bila mpaka kwa kuchagizwa na kulipwa na mabeberu.
 
Humjui vizuri Ulimwengu ndugu. Ukiweka chuki yako dhidi yake na ambayo haijulikani alikufanyia nini utamjua vizuri.
 
Sio kama wale wanaosaliti Chama pindi watishiwapo nyau
 
Pole Kwa kuchochwa na ukweli,wanakijani msipoukubali ukweli mtakufa kwa msongo kabla ya siku zenu.
 
Huyo mpinzani wa uganda hapo ajue yuko na chawa wa museveni.. ulimwenguπŸ™„
 
Wapenda haki husimama ktk haki hata kama inamaanisha kufa masikini ama kupoteza maisha! Mungu awabariki sana.

Wenzangu na mie akina Slaa wanabadilika na upepo!
Slaa ameharibikiwa ukubwani, njaa ya mihogo mpaka uzeeni na imepanda kichwani. Mshenzi yule.
 
sasa unalia nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…