Mwananchi wa chini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 227
- 599
Huu ufisadi ssformer South Africa president Jacob Zuma 76 years marries his 24 years old fiancee. Remember Zuma has other four wives.
mzee anaweza kazi...amechukua kitu kibichi kabisaHuu ufisadi ss
nani huyo anayebikiri mkuu?Kuna watu wachache tu! Wanaifaidi hii dunia akiwemo huyu mzee, king mswati na yule jamaa anayebikiri kule nchini Zambia
Sio mbibi,ila kibonge tuMbona anaonekana mbibi.
Kuna kabila moja huko Northern Rhodesia, huwa wanampa jukumu mtu mmoja kwa ajili ya kazi ya kubikiri...pia hata kulala na wanawake waliofiwa na waume zao. Wanafikiri ni sehemu ya kuondoa mikosi.nani huyo anayebikiri mkuu?