A amiride JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 200 Reaction score 37 Sep 6, 2012 #1 Mzee mmoja bahili karudi nyumbani kwake akaanza kuwatembezea watoto wake bakora, watoto kuuliza kwa nini mzee anawachapa bakora? mzee akawajibu mna matumizi mabovu nyinyi mpo watatu mnawasha fan namba 4 kwa nini
Mzee mmoja bahili karudi nyumbani kwake akaanza kuwatembezea watoto wake bakora, watoto kuuliza kwa nini mzee anawachapa bakora? mzee akawajibu mna matumizi mabovu nyinyi mpo watatu mnawasha fan namba 4 kwa nini
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Sep 6, 2012 #2 Ha ha ha ha ha teh teh teh teh teh teeeh, huyu dingi ni kaksi
Ngangasyonga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2010 Posts 455 Reaction score 71 Sep 6, 2012 #3 Huyo mzee lazma alikua ametoka kwenye ka-ugimbi/ulabu/ulaka/komoni etc.
K Kamuzu JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 993 Reaction score 309 Sep 6, 2012 #4 Mzee Gamba huyo!
Bishop Hiluka JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 7,147 Reaction score 14,708 Sep 6, 2012 #5 Duh! Kazi ipo...
Z zeKilale New Member Joined Sep 6, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Sep 6, 2012 #7 duuuuuu uyo mzee noma.
Babkey JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 4,838 Reaction score 3,673 Sep 6, 2012 #8 Kamuzu said: Mzee Gamba huyo! Click to expand... ...tehe tehe...magamba sio wabahili kiivyo!
Manager JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 531 Reaction score 73 Sep 7, 2012 #9 Nafikiri alikuwa amemiss kuwachapa siku nyingi
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Sep 7, 2012 #10 Dah...! Alikuwa na matatizo yake mengine.
G George ngarasoni Member Joined Jun 6, 2012 Posts 40 Reaction score 9 Sep 7, 2012 #11 Ngangasyonga said: Huyo mzee lazma alikua ametoka kwenye ka-ugimbi/ulabu/ulaka/komoni etc. Click to expand... yaani wewe muhehe kabisa ndugu yangu!
Ngangasyonga said: Huyo mzee lazma alikua ametoka kwenye ka-ugimbi/ulabu/ulaka/komoni etc. Click to expand... yaani wewe muhehe kabisa ndugu yangu!
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Sep 7, 2012 #12 George ngarasoni said: yaani wewe muhehe kabisa ndugu yangu! Click to expand... ha ha ha haaaaaah, si unaona jamaa kakaa kiulanzi ulanzi, komoni, kimpumu
George ngarasoni said: yaani wewe muhehe kabisa ndugu yangu! Click to expand... ha ha ha haaaaaah, si unaona jamaa kakaa kiulanzi ulanzi, komoni, kimpumu
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Sep 7, 2012 #13 kweli bana namba tatu kwa watu watatu..lazma atakua wa kishumundu uyo
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,983 Sep 7, 2012 #14 Stress za mjini ni balaa!
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,983 Sep 7, 2012 #15 Kamuzu said: Mzee Gamba huyo! Click to expand... Siasa hadi huku...duu! Kwa hyo una maana magwanda ndio watu wa kutumbua sana?
Kamuzu said: Mzee Gamba huyo! Click to expand... Siasa hadi huku...duu! Kwa hyo una maana magwanda ndio watu wa kutumbua sana?
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Sep 8, 2012 #16 Watoto wanatakiwa kuilaumu ccm kwa kuyafanya maisha kuwa magumu ndo yamemfanya mzee kuwa na mastreess kama hayo
Watoto wanatakiwa kuilaumu ccm kwa kuyafanya maisha kuwa magumu ndo yamemfanya mzee kuwa na mastreess kama hayo