Wametupania hataree
Heh taratibu Mzee Baba wa Yanga mtuwache
Enzi za JK pesa ilikuwepo hatukuwahi kusikia habari za vibamia, now vyuma vimeyumba unatengenezewa sababu ya kuachwa kuwa ni kibamiaahahaha[emoji3][emoji3]kula na kusepaaa utaskia tu yule anakibamia hana lolote
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Demu ana kadi ya Ccm. Kula ondoka.
Ukizamisha ulimi sikioni pachungu kama umelamba ganda la aloveraDem wa hivyo hata kitandani hajui kubailojiana, anaweza akakupa staili 2(Mbuzi kagoma, na Mende) hafu akaishi kukutegea tu ukojoe wewe. Mtu katupia makeup hizo romance za kumwekea ulimi maskioni, shingoni nk utazianzaje
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha eti ganda la Alovera kunywa kweli bila kusahau mwarobaini
Hatupumui...si usiku si muchana..