Inasemekana kuwa hata wazo la kuunga TANU na ASP Lilikuwa ni la huyu Mzee.Mwinyi Aboud Jumbe (born 14 June 1920)[1] was a politician in Zanzibar. He held several positions, including the second president of Zanzibar, chairman of the Revolutionary Council, Vice-President of the Union, and the vice-chairman of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party.[2]
Jumbe served as president of Zanzibar from 11 April 1972 until 30 January 1984. He succeeded Abeid Karume as president, following Karume's assassination on April 7, 1972. He was initially elected by the Revolutionary Council as a part of the Afro-Shirazi Party (ASP). While he was in office, in 1977, the two ruling parties of Tanzania merged. In particular, the ASP and the Tanganyika African National Union (TANU), merged to create Tanzania's ruling party, the CCM.[3]
In 1979, Jumbe introduced the first post-revolution constitution of Zanzibar. This separated the powers of the Revolutionary Council and the House of Representatives. Furthermore, the new constitution established elections by universal suffrage, instead of being elected by the Revolutionary Council.[3]
Natoa changamoto kwa waandishi wetu.tafadhilini fanyeni juhudi mukamuone huyu mzee.
Jipangeni jopo kubwa mwende mukamsikilize muandae masuali ya kumuuliza ana mengi ya kusema.
Ni vyema kupata picha halisi ya historia kabla hajatutoka.
Hakika waandishi wa tanzania kuweni wabunifu nendeni kwa huyu mzee...mnalo jukumu la kujua upande wake wa habari
Natoa changamoto kwa waandishi wetu.tafadhilini fanyeni juhudi mukamuone huyu mzee.
Jipangeni jopo kubwa mwende mukamsikilize muandae masuali ya kumuuliza ana mengi ya kusema.
Ni vyema kupata picha halisi ya historia kabla hajatutoka.
Hakika waandishi wa tanzania kuweni wabunifu nendeni kwa huyu mzee...mnalo jukumu la kujua upande wake wa
habari
Huyu mzee anakaribia miaka 100 (kazaliwa 1920) na kwa taarifa nilizonazo keshaanza kupoteza kumbukumbu na hayuko kizuizini kama wengine wanavyodai, kwa hiyo ni vyema watu wakasoma kitabu chake cha the Partnership tutapata kujua mbichi na mbivu humo, otherwise hivi sasa anahitaji dua za hatma nje.
Masomo Bookshop Zanzibar au nunua online kwenye Amazontunakipataje hiko kitabu?
Mzee jumbe hayuko kizuizini, Yuko Mjimwema Kigamboni, unaweza kwenda ila ni Mzee sana anaongea kama cassette inakula mkanda pia anawatambua watu wa familia yake kwa sauti! Anakiti cha matairi huwa wanatumia kumtoa nje na kumrudisha ndani.