Mkuu, suala la serikali tatu sio la Jaji Warioba, ni la wananchi wengi. Hivi hata nishani kanyimwa ya miaka 50 ya Mapinduzi?CCM inapaswa kumuomba radhi mzee Aboud Jumbe kwa kumnyang'anya madaraka aliyokuwa nayo pamoja na cheo cha urais wa ZANZIBAR hapo 1984. Hayo yalitokea baada ya rais Aboud Jumbe kushabikia suala la serikali tatu jambo ambalo Mw/Nyerere alilipinga kwa nguvu zake zote kisha kumvua Jumbe nyadhifa zake zote. Jaji Warioba kuleta tena suala la serikali tatu katika rasimu zote mbili ya kwanza na ya pili. Hii inathibitisha ya kwamba mzee Jumbe aliona mbali sana na hakukosea kwa kile alichokuwa akikiamini. Kwa hili maCCM muombeni radhi mzee Jumbe.
CCM inapaswa kumuomba radhi mzee Aboud Jumbe kwa kumnyang'anya madaraka aliyokuwa nayo pamoja na cheo cha urais wa ZANZIBAR hapo 1984. Hayo yalitokea baada ya rais Aboud Jumbe kushabikia suala la serikali tatu jambo ambalo Mw/Nyerere alilipinga kwa nguvu zake zote kisha kumvua Jumbe nyadhifa zake zote. Jaji Warioba kuleta tena suala la serikali tatu katika rasimu zote mbili ya kwanza na ya pili. Hii inathibitisha ya kwamba mzee Jumbe aliona mbali sana na hakukosea kwa kile alichokuwa akikiamini. Kwa hili maCCM muombeni radhi mzee Jumbe.
QUOTE=Synthesizer;8469714]Suala lililomtoa Jumbe madarakani halikuwa la serikali tatu bali kuiondoa Zanzibar kwenye Muungano na kujiunga na nchi fulani la kiarabu ambayo sintaitaja hapa. Huo ulikuwa ni uhaini na ashukuru huruma alizopata hadi sasa..
CCM wamemfanya Mzee Jumbe kukosa amani ya Maisha toka Mwaka 1984CCM inapaswa kumuomba radhi mzee Aboud Jumbe kwa kumnyang'anya madaraka aliyokuwa nayo pamoja na cheo cha urais wa ZANZIBAR hapo 1984. Hayo yalitokea baada ya rais Aboud Jumbe kushabikia suala la serikali tatu jambo ambalo Mw/Nyerere alilipinga kwa nguvu zake zote kisha kumvua Jumbe nyadhifa zake zote. Jaji Warioba kuleta tena suala la serikali tatu katika rasimu zote mbili ya kwanza na ya pili. Hii inathibitisha ya kwamba mzee Jumbe aliona mbali sana na hakukosea kwa kile alichokuwa akikiamini. Kwa hili maCCM muombeni radhi mzee Jumbe.