Hawa watumwa walitoka wapi hasa? Walikuwa watu wa namna gani, je ni wale walokataliwa na jamii zao au? Je waliuzwa maeneo/nchi zipi hasa? Je kuna waliofanikiwa kurejea wao wenyewe au vizazi vyao? Je serikali zetu zinafatilia kujua hatma za watu hawa?