Foreign exchange maana yake ubadilishaji wa fedha za kimataifa kwenda fedha nyingine mfano Us Dollar kwenda Euro, Tsh kwenda USD.
Forex ni lidude lingine kabisa ambalo nasikia limekaa kiutapeli tapeli hivi
kuwa makini na tuhela twako, mama yuko marekani ndugu yangu tunza hela