Mzalendo recruitment, Waepukeni

Mzalendo recruitment, Waepukeni

Duuuh hatari kweli kweli, soko la ajira lilivyo gumu watu ndo wanatumia chance hiyo kuwaumiza graduates
 
Hawana ofice na pia hawapo hata kwenye mtandao kusema unaweza kupata taarifa zao!Tena hawana ndo wale mawakala wasiosajiliwa na hawatakiwi na serikali...me mwenyewe nilienda leo,kufika pale reception namuuliza mzalendo recruitment company wako wapi office zao,,akanambia floor ya 4 but ni foreverliving..My God nikashikwa na butwaa vile siwapendi hao wadudu..nikamwambia ngoja nikawasuuze kidogo.....na wameipata leo..
 
Kweli wametukwaza sana leo. Halafu wanasema eti forever living ndo kampuni iliyowaambia watafute wafanyakazi. Sasa forever wanaajiri tangu lini? Nilitamani kumchapa kibao yule dada anaitwa hellen sijui kwa utapeli wao. Serikali inabidi iwaaadabishe kwa kuwapotezea watu muda wao wakat hakuna kazi
 
Mmmmh! KWaiyo wao wamemapa mshiko kwa kuwakusanyia watu forever living? Loh
 
Forever living haizungushi viombo mbona mtaani mtoa mada weka vizuri hii.
 
Haha forever living.....ukiwapa nafasi tu ya kuongea nao expect kusikia wanakula mamilioni ya pesa na hawataki kuajiriwa eti atakaewaajiri hawezi kuwalipa pesa km wanayoipata hapo...Utasikia wanamiliki majumba na magari hapa mujini, wana mipesa, wataanza kukutajia watu wengine pia wenye mipesa. Hehe wananifurahishaga sana hawa watu.
 
Ajira hizi, dah hivi kwanini hamkuwafanyia hata vurugu mkatia hasara kidogo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom